Sasa kama wanaheshimu taratibu na sharia za kwao si wafanye hayo kwenye jamii zao kwenda kuua watu wengine wasio na hatia mfano westgate kenya na sehemu zingine ni kwamba allah anakuwa amewatuma au niaje??
Nakumbuka Uyole wakati wa kampeni walimfanyia MAgufuli harrassment za kutosha walikuwa wanamzomea na kumuonyesha alama ya vidole 2 vya chadema, ilibidi Jpm nae aende nao sawa kwa kuonyesha vidole 2 ki ukawa ukawa ndio kidogo zomea zomea ikapungua, naona na Jpm bado hajasahau ilo juzi kawachana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.