Recent content by mshakunaku

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Marufuku kufukuza wanafunzi shule binafsi wanaofeli wastani

    SHULE BINAFSI NI WAPIGA DILI TU.KAMA MWANAFUNZI WANA,NIA YA KUBORESHA ELIM,.MWANAFUNZI AKIRUDIA WAMSOMESHE BURE.SERIKALI IPO SAWA,TU.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha madereva wa bajaj na bodaboda Kigoma kina harufu ya ufisadi

    Katika hali ya kushangaza ndani ya manispaa ya kigoma,ujiji katika jimbo la mheshimiwa Zitto Kabwe kuna chama,kinachojiita cha waendesha boda boda kimejifanya wakala wa bima feki.eti kila dereva wa bajaji lazima,alipe shilingi elf mbili kila wiki ikiwa ni takriban laki moja kwa,mwaka kama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

    Nadhani hizi dawa za kuzuia mimba madhara ni makubwa kuliko faida
Back
Top Bottom