Chama cha madereva wa bajaj na bodaboda Kigoma kina harufu ya ufisadi

mshakunaku

New Member
Feb 21, 2015
3
45
  • Katika hali ya kushangaza ndani ya manispaa ya kigoma,ujiji katika jimbo la mheshimiwa Zitto Kabwe kuna chama,kinachojiita cha waendesha boda boda kimejifanya wakala wa bima feki.eti kila dereva wa bajaji lazima,alipe shilingi elf mbili kila wiki ikiwa ni takriban laki moja kwa,mwaka kama bima....bila mktaba wowote.mbaya zaidi kujiunga,na chama hiki eti lazima ulipe elf 80 na na nilazima.la sivyo hupati usajili.pia lazima ulipe shs elf tano eti ya mwanasheria eti atakutetea siku ukipata ujalu.pesa yote hii inaingia mifukoni mwa wajanja wachache.
  • TUNAOMBA MBUNGE WETU WA KIGOMA MJINI BWA ZITTO ALISHUGHULIKIE HILI HARAKA.kwa sasa,kigoma kuna bajaj takriban 700.pesa hizi imekua,kero kwa vijana maskini walio amua,kujiajiri ktk mkoa huu wa pembezoni usio na viwanda wala migodi.
Mheshikiwa zitto tunaomba ufatilie juu ya michango tunayotozwa wamiliki wa bajaj hapa kigoma mjini
 
Ilagala

Member
Apr 20, 2016
43
95
  • Katika hali ya kushangaza ndani ya manispaa ya kigoma,ujiji katika jimbo la mheshimiwa Zitto Kabwe kuna chama,kinachojiita cha waendesha boda boda kimejifanya wakala wa bima feki.eti kila dereva wa bajaji lazima,alipe shilingi elf mbili kila wiki ikiwa ni takriban laki moja kwa,mwaka kama bima....bila mktaba wowote.mbaya zaidi kujiunga,na chama hiki eti lazima ulipe elf 80 na na nilazima.la sivyo hupati usajili.pia lazima ulipe shs elf tano eti ya mwanasheria eti atakutetea siku ukipata ujalu.pesa yote hii inaingia mifukoni mwa wajanja wachache.
  • TUNAOMBA MBUNGE WETU WA KIGOMA MJINI BWA ZITTO ALISHUGHULIKIE HILI HARAKA.kwa sasa,kigoma kuna bajaj takriban 700.pesa hizi imekua,kero kwa vijana maskini walio amua,kujiajiri ktk mkoa huu wa pembezoni usio na viwanda wala migodi.
Naamini amesikia, atatumbua hilo jipu uchungu Mh. Zitto.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom