Recent content by Mshahara kiduchu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini inamuwia vigumu kumtoa January Makamba

    February kamwe hawezi ondolewa,amini nakuambia kama ni kupwaya mi naona anapwaya tena sana,kuendelea kuwepo bila shaka ndo akina sigusiki.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge kutumia ofisi za chama kuongea na wanahabari kuhusu tukio linalopelelezwa vikali na Polisi ni sahihi?

    mimi sioni cha kubishana hapo,akiliongelea kwa mantiki ya kusaidia kumpata haina shida hata kama ingekuwa ni chooni ndo akaongelee,binafsi ingekuwa poa maaana ni mtz kama wewe. Usifanye watanzaia kuogopa kutoa ushauri,kuhoji au kukosoa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

    kinachotafutwa ni theluthi mbili tu,ukiondoa za wale wa chama tawala wenye misimamo mikali ili ibaki two out of three
  4. M

    JamiiForums Tanzania RC Hapi: Mimi ni mtu hatari, usiniudhi, usinichezee!

    Nchi yetu ina viongozi wachache sana,anajua misingi na kanuni za uongozi lakini hayo yote anayaweka kando.Yeye ni mtu hatari sana?,uhatari wake ni upi? .Rais wetu anayo kazi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atakuwa Waziri Mkuu kwa miaka kumi?

    Kama asipomaliza miaka 10 kwa utabiri wangu anaweza kuwa S.JAFO au A. MTAKA
Back
Top Bottom