Sijui kwanini inamuwia vigumu kumtoa January Makamba

January alishajizoelea kupaa zake ulaya kula bata kwa kodi ya watanzania..sasa huyu jiwe kazuia safari hizi dah..tunammiss sana jk..sasa hivi tungekuwa tushaitia mpunga wa kutosha mfukoni kwa safari za kutengeneza za majuu..magorofa yetu yamelala tu sasa hivi..ngoja tuwasubiri kina mbowe waingie..mambo yatakuwa moto tena kama enzi ya jk..
 
Halafu ndio Waziri pekee alie tweet sana kwenye swala la Mo.
Ni kweli na hii inaonyesha tu wanasiasa walivyo na unafiki. Kila mwanasiasa anapaza sauti au kukaa kimya kulingana na maslahi na ukaribu alionao kwa rais. Kipindi cha Kikwete Zito alikuwa anachagua vitu vya kukosoa na hakuwahi kumkandia Kikwete moja kwa moja. Kipindi hiki mirija imekatwa ndiyo anajifanya kupiga kelele.
 
Back
Top Bottom