Forums
Trending
New Posts
Log in
Register
Style variation
System
Light
Dark
Trending
Search
Search
Search titles only
Note
By:
Latest activity
Register
Our Community
JamiiCheck
FichuaUovu
Stories of Change
Start Discussion
Coming Soon
JamiiCourses
JamiiData
JamiiShop
Premium Content
Regional Communities
Coming Soon
Tanzania
Uganda
Kenya
Rwanda
DRC
Zambia
Zimbabwe
Menu
Log in
Register
Navigation
More options
Style variation
System
Light
Dark
Contact us
Close Menu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
mseytruu
Recent content by mseytruu
JamiiForums Tanzania
Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika
Nenda BOT,kuna jamaa yangu pia alikuwa anasumbuliwa na letshego,walikuwa hawataki kumpa balance,alivyopeleka malalamuko BOT, balance allipata faster
mseytruu
Post #32
Sep 6, 2024
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
JamiiForums Tanzania
Waziri Mkuu ashtushwa na taarifa ya Madereva wa Serikali kulogana ili wapate kazi
Hahahaha,mkuu wa mkoa aliwaona wakati wanarogana.
mseytruu
Post #30
Aug 20, 2024
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
JamiiForums Tanzania
Orodha ya watu waliopotea na kutekwa na tamko juu ya ongezeko la vitendo vya utekaji na upoteaji wa watu nchini Tanzania
Hivi hakuna uwezekano,kila mwanafamilia akafungiwa GPS,ndani ya mwili wake,hebu wataalam tusaidieni
mseytruu
Post #80
Aug 11, 2024
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
JamiiForums Tanzania
Chama cha Walimu wajifunze kutoka TLS
🤣🤣🤣,nilishawahi kuwasikia mkuu, yaani hawa jamaa huwa nawashangaa sana.
mseytruu
Post #36
Aug 3, 2024
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
JamiiForums Tanzania
KERO
Halmashauri ya Mkuranga inataka tulipe kodi ya pango kwa zaidi ya asilimia 10 tunayoipata kupitia vibanda
Pole sana mkuu,karibu sana hapa kiparang'anda kikungo.
mseytruu
Post #4
Jul 28, 2024
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
JamiiForums Tanzania
Dar es Salaam kuna visa sana; Nilishawahi kufanya kazi kwenye ofisi imechoka hadi wafanyakazi mnamuonea huruma boss yaani boss hana matumaini kabisa!
🤣🤣🤣🤣,hatari sana, bosi anajificha.
mseytruu
Post #14
Jul 7, 2024
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Anaomba ushauri, achepuke?
Mkuu kwenye masuala hayo, mshauri wako ni nyoka,nyoka atashauri kama alivyomshauri Eva,mke wa Adamu.
mseytruu
Post #41
Jun 22, 2024
Forum:
Mahusiano, mapenzi, urafiki
JamiiForums Tanzania
Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath
🤣🤣🤣Labda walidhani na huko mahabusu anaweza kutoa huduma kwa mahabusu wenzake pamoja na askari na kupata pia sadaka na fungu la kumi🏃🏃🏃🏃🏃🏃
mseytruu
Post #163
Jun 22, 2024
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
JamiiForums Tanzania
Luhaga Mpina: Niko tayari kuitwa hata Mahakamani
Mkuu wewe ndiyo poyoyo ila samahani sana mkuu,kusema kweli wewe ndiye poyoyo, unisamehe sana mkuu kwakuwa wewe ndiye poyoyo, kazi njema mkuu
mseytruu
Post #53
Jun 19, 2024
Forum:
Jukwaa la Siasa
JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Demu wangu ananinyima sana tunda
Mmh,au atakuwa na mapepo na yanakuchukia sana,huenda ndiyo yanamtumia,mpaka kushika kisu,hii ni hatari sana.
mseytruu
Post #68
Jun 15, 2024
Forum:
Mahusiano, mapenzi, urafiki
JamiiForums Tanzania
Ishara tano(5) kwamba unakaribia kufa na nini cha kufanya unapoona
Duh,we jamaa itakuwa nyota yako ni ya uganga wa kienyeji.
mseytruu
Post #52
Jun 12, 2024
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
JamiiForums Tanzania
DOKEZO
Responded
Taasisi zinazotoa mikopo zitunze faragha za wateja wao
Hahahaha,uwaulize mbona wakati wanampa mkopo hamkujulishwa,halafu Left hilo group.
mseytruu
Post #7
Jun 8, 2024
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
JamiiForums Tanzania
DOKEZO
Responded
Taasisi zinazotoa mikopo zitunze faragha za wateja wao
Hahahaha,uwaulize mbona wakati wanampa mkopo hamkujulishwa,halafu Left hilo group.
mseytruu
Post #6
Jun 8, 2024
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
JamiiForums Tanzania
DOKEZO
Responded
Taasisi zinazotoa mikopo zitunze faragha za wateja wao
Pole mkuu,kama wameshakutangaza, USIWALIPE, watalipwa huko walikotangaza.
mseytruu
Post #5
Jun 8, 2024
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
JamiiForums Tanzania
DOKEZO
Responded
Taasisi zinazotoa mikopo zitunze faragha za wateja wao
Hawa jamaa siyo wastaarabu,hata deadline ya kuwalipa haijafika,wanataka ulipe yaani ni lazima,usipofanya hivyo,unatangazwa kuwa ni tapeli.
mseytruu
Post #3
Jun 8, 2024
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
mseytruu
Our Community
JamiiCheck
FichuaUovu
Stories of Change
Start Discussion
Coming Soon
JamiiCourses
JamiiData
JamiiShop
Premium Content
Regional Communities
Coming Soon
Tanzania
Uganda
Kenya
Rwanda
DRC
Zambia
Zimbabwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
Accept
Learn more…
Back
Top
Bottom
Menu
Forums
New posts
Log in
Register