Recent content by MSERIKALI

  1. M

    Naomba kufahamu kuhusu Chuo cha Ualimu Marangu

    Fomu zinapatikana kwenye web ya TAMISEMI soma tangazo la NACTA lenye majina ya waliochaguliwa pale wameeleza namna ya kupata fomu. ama waandikie e-mail marangutc@gmail.com
  2. M

    Gazeti la Mwananchi halina contacts, why?

    Hawa jamaa nami nilisumbuka sana last week ilikuwa niwaunganishie dili la nchi moja ya nje walitaka kuweka matangazo yao kwenye gazeti la kiswahili na kiingereza lakini kila nikipiga hamna majibu ni nikitafuta kwenye mtandao ndo kaisa hazipatikani, nadhani wanapaswa kuona kuwa wakati wote...
  3. M

    Msaada wa haraka please

    google contact zao, then wapigie au la fika kabisa chuo ufanye mambo mwenyewe kama utakwama unarudi unaposoma kwa sasa
  4. M

    Serikali yatangaza viwango vipya vya alama za ufaulu elimu ya sekondari

    Mambo ya BRN yamekuja na mfumo mpya wa kutoa matokeo ya Sekondari ( O and A level). Sasa continous assesmnt (CA) zitachangia 40% na mtihani wa mwisho 60%. Wale wa kujitegemea nao watakua na CA. CA za matokeo yake alipofanya mtihani wa sec zitaunganishwa na matokeo yake ya PC. Mie nabaki na...
  5. M

    Barua nzito kwa walimu wa sekondari.....!

    Jambo la msingi ni kuwaweka watoto wawe na ufahamu na stadi za maisha zitakazowasaidia kukabiliana na changamoto. Binti huyo ni muelewa ndo maana akaona alisema kwa wazazi. Hongera binti
  6. M

    Ni wapi nitoe taarifa hii?

    Ni jambo zuri kuwa mzalendo kwa Nchi yako. Fahamu taasisi iliyotoa vyeti hivyo mfano. NACTE, UNIVERSITY, NECTA then andika taarifa kamili, usiandike jina lako wala chochote kitakachokutambulisha then tuma/peleka kwa taasisi husika nakala wape usalama wa taifa au utumishi.
  7. M

    Mtumishi wa umma akihama mkoa hupoteza haki zake?

    Haki yako ipo pale pale. Cha muhimu watanzania tusome vema nyaraka zinazotawala kazi zetu. Ingia tovuti ya utumishi utapata miongozo mingi au muombe afisa utumishi nyaraka ya hoja yako.
  8. M

    wadau mm naombeni msaada kuhusu maswala ya Helsb...

    Pole. Nakushauri usife moyo, ukilegea hutopata. Fahamu kwamba Nchi hii, bila kupiga miayo hakuna anayefahamu kuwa unanjaa. Fika uongozi wa juu chuoni kwako na loan board, ikibidi andika barua, weka nakala ya fomu then wape. MUHIMU WEKA KUMBUKUMBU KWA kila unalofuatilia
  9. M

    Ufafanuzi kuhusu watu waliodaiwa kufa mkoani Geita na baadaye kukutwa wakiwa hai

    Kimsingi, jamaa hakwenda shy, katunga tu na kuwaongezea wanandugu majonzi. Kwanza hamna binadamu anayeweza kufufua. Tuandike huku tukifiria umuhimu wa kuandika
Back
Top Bottom