Recent content by Msengapavi

  1. M

    GE2025 Video: Polisi wakifuata vijana wa kiume majumbani huko Mara

    Ushahidi ndo wameshapoteza kwa kuwazika watu kwenye makaburi ya halaiki.
  2. M

    GE2025 Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura?

    Binafsi najua kuwa hakuna mwenye haki ya kuzuia mtu kufanya wajibu wa kikatiba wa kupiga kura. Wote, wanasiasa na wanahatakati wana wajibu wa kuielimisha jamii na hata kushawishi jamii kutoshiriki mchakato wa kupiga kura lakini baada ya kufanya hayo yote uchaguzi wa kupiga au kutokupiga kura...
  3. M

    DOKEZO Tumepoteza vijana. Wengi hawajulikani walipo

    Duh! Kwa kweli ni vizuri kujua wahusika halisi wa vitendo hivi vya kidhalimu. Tunajua kuwa polosi ni wahusika wakuu lkn tuangalie namna kuwashitaki individuals. Iko siku hili nalo litapita ila wahusika lazima wawajibishwe.
  4. M

    Sitashiriki kampeni kwa aina ya wagombea tulionao

    Alikuwepo ajashi dwa kuyatatua. Huyu hawezi kuaminika tena.
  5. M

    GE2025 USHAURI: Tundu Lissu akubali kusimamiwa na Wakili kama ambavyo George Bizos alivyomuokoa Nelson Mandela dhidi ya adhabu ya kifo

    TAL anakabiliwa na kesi ya kisiasa; kesi ya mchongo ya kubumba. Ana mawakili makini sana na anawatumia sana na anaweza kuwatumia zaidi, akipenda au wakati ukifika. Kwa sasa, hoja za TAL zina nguvu sana na ana uwezo mkubwa wa kishughulikia mashahidi wa mchongo kwa namna ambayo itaiaibisha sana...
  6. M

    Afrika inaamka sasa; Malawi, Rais Chakwera ameshindwa kura za Urais baada ya mhula mmoja tu madarakani

    GenZ wa TZ wao bado wanashobokea uchawa. Africa inaweza kuwa inaamka lkn TZ bado safari ni ndefu.
  7. M

    Hawa watu wanakupiga huku wanakupoza na maji ya baridi

    PCCB AKA TAKUKURU ni taasisi kazi wanayofanya haiko wazi sana sababu haionekani kutendeka. Kwa kiasi kikubwa wanafanya kwa maelekezo. Sina imani na takukuru na hata ktk kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu mambo si sawa. Kugawa bauskeli na pikipiki ni rushwa. Hata kubeba watu kwenye malori na...
  8. M

    GE2025 Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu

    Huyu Mpina, kama ilivyokuwa kwa Membe, na Lowasa, atarudi CCM.
  9. M

    GE2025 Kigoma: Kwa jinsi Zitto anavyojinadi jukwaani ni dhahiri anashinda Ubunge. Comedian wa CCM anapayuka hovyo.

    Na Zitto keshasahsu kuwa ACT wana mgombea wao, yeye anamnadi Samia. Ama kwa hakika ACT ni mpango wa kando wa CCM. Mpina aitafakari nafasi yake ACT hasa baada ya kuwekewa pingamizi.
  10. M

    Polisi waanza uchunguzi video ya tukio la mtoto akipigwa na kudaiwa kuuawa kikatili kwa tuhuma za kuiba Parachichi

    Katika umri wa miaka 14, kuiba parachichi maana yake jamii nzima inakabiliana na tatizo kuwa la uchumi na maadili kiasi kwamba wizi wa parachichi unaweza kumsababishia mtoto kifo. Huu ni umri ambao watoto wanaagaliwa na kusimamiwa kwa makini kuhakikisha mahitaji ya yanapatika ili wasihitaji...
Back
Top Bottom