Zitto kabwe na mama yake wanatumiwa na ccm kuihujumu chadema, zitto ni mwana ccm ndani ya magwanda ya chadema ndio maana hujuma nyingi ccm wanamtumia yeye na sasa mama yake.
Zitto kwa wana chadema waukweli ni mzigo sio tuu ni kibaraka wa ccm vile vile anakihujumu chama na mwisho dini yake ndio inayo pata feva kutoka kwa msanii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.