Recent content by Msemajiwao

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wapuuzeni Msijibu yale matusi ya vijana wa Chaumma waliokimbia Chadema kwa mahaba ya mbowe wana ajenda yao

    Puuzeni wanachochapisha kuitusi chadema na wanapenda haki wengine wala msikoment matusi kwenye kurasa zao wapuuzeni
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wapuuzeni Msijibu yale matusi ya vijana wa Chaumma waliokimbia Chadema kwa mahaba ya mbowe wana ajenda yao

    Kuna wale vijana waliotoka chadema kwa ridhaa yao na kuhamia chauma baada ya ajenda yao kujulikana. Hawa vijana wanatafta attention kupitia kuitukana chadema na maneno yasiyo na tija mtandaoni! Watu hao wanaotumia kurasa za mitandao ya kijamii kuishambulia zaidi chadema. Wana ajenda kuu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu TEC msipoteze muda kuwajibu mashekhe ubwabwa waliotumwa bali sisi waislam wenzao tuwajibu

    Iko hivi! Mimi ni Mwislam nina macho, nina akili nina masikio! Kuna mashekhe Ubwabwa wamepewa kazi kuijibu TEC ili kubadilisha upepo uonekane ni mgogoro wa kidini! Iko hivi Dini yetu ya kiislam ni dini ya HAKI NA UTU. Tunatambua madhira yote yaliyotokea na dunia nzima imeshuhudia! Ni kipofu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuzimwa kwa Internet kipindi cha Uchaguzi ni ukiukwaji wa haki za Binadamu na imesababisha hasara kubwa

    Akaunti ya paschal mayala kwa jina jingine anatumia #Ponjoro wa kinondoni
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kuonyesha kilichojiri kwenye Uchaguzi 2025, chaneli ya Al-Jazeera yazuiwa (blocked) kwenye visimbuzi vya Tanzania

    Wameizima hawa kina mbiliabeli sijui walienda shule kusomea nini
  6. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

    Wanamuogopa hadi wameomba msaada wa refa
  7. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

    Nimewaambia kibendera ana maelekezo na refa jamaa wananyimwa fursa nyingi sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

    Refa kawatoa jamaa mchezoni sana ...offside za kipuzi na kukataa magoli jamaa wametoka mchezoni kutokana na refa
  9. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

    Kwenye fairly Ground Yanga wangepsuka na leo...sema wameongeza na refa
  10. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

    Kabisa jamaa wamefunga goli l wazi kabisa
  11. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

    Yanga ikicheza na refa huwa ya moto sana, jamaa wamenyimwa goli la wazi
Back
Top Bottom