Recent content by Mseleleshaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nisipowaambia ukweli nitahukumiwa siku ya mwisho. Haya ni machukizo kwa Mungu

    Mungu ni pendo apenda watu, Mungu ni pendo anipenda, tazama jinsi alivyoupenda ulimwengu mpaka akamtuma mwanae wa pekee na kila amuaminie asipotee.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mungu atawaadhibu kwa dhambi za wazazi wenu, hata kizazi cha tatu mpaka cha nne

    kama ndo basi wazungu hadi sasa wangekuwa wanalipa madhambi waliyowatendea na kuendelea kuwatendea waafrika lakini mbona ipo tofauti kwao na ndo kwanza dini bado wanaongoza wao na bado wanatuburuza na Mungu amekaa kimya au ili swala lina apply kwa waafrika tu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Mandonga na Kaoneka: Ndio Urithi wetu, na ndio mtindo wetu wa maisha

    kwan waliopigwa wangapi mbona deals anapata mandonga tu? hajapata dili sababu ya kupigwa kwake, wa kulalamika angelalamika magambo , yeye ndo wa kwanza kumpa jina mandonga sababu alimpiga round ya kwanza sio yeye kaoneka kamkuta teyari ashakuwa na jina
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

    naongezea , ukiwa unakojoa mara kwa mara kwa kuchuchumaa inaimalisha mishipa ya uume ya kukusaidia kwenye tendo, asa ww kijana wa miaka 30 uogope kuchuchuma kisa utakuwa choko basi kuna ulakini na urijali wako.
  5. M

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

    itapendeza kama utashare hayo mazoezi ambayo unayakumbuka na una ushuhuda nayo.shukrani.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    unamaanisha?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    nini madhara ya kufungua jicho la tatu kwa njia ya uchawi au kwa njia ya maneno ya kiungu? (km sijakosea kitu kama hicho)@mshana
  8. M

    JamiiForums Tanzania USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

    kumbe watu wanamuonea mmarekani kumsingizia kuwa anavamia na kuzibonda nchi za wenzake kama anavofanya mrusi leo wakati anabondwa yeye mpaka anakimbia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    jeshi lolote haliwezi kuchapisha udhaifu labda uvuje kwa majasusi ukiona wamechapisha wenyewe jiulize mara mbili mbili na sio marekani tu, dunia kwa ujumla , ni maoni yangu tu lkn.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    ndo ujue hata hicho alichokiripoti kinaweza kisiwe cha kweli sababu ya hii taarifa yako☝️
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

    kumbeee
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    nchi kulipoti madhaifu yake vitani? nipe na mifano nikuelewe mwana propoganda
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

    nenda serikalini kaangalie idadi kubwa ya misaada na mikopo inatoka wapi au uje tujadili tuendelee kujipendekeza au tuache
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    unachosema ni kweli kabisa ila tatizo linakuja pale mnapochagua habari , wamarekani wakisema mrusi anapigwa huko ukraine mnasema propaganda ila akisema bado cjaweza kutengeneza silaha za kasi mnasema hio habari ya kweli, kwann msione kila habari ya mmarekani ni propaganda? au msoipenda ndo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Operation Barracuda: "Mission hatari ya kijasusi nchini Kongo"

    adui wa maendeleo africa ni sisi wenyewe wengine tunawapa nafasi wwnyewe
Back
Top Bottom