Recent content by Msela Ngoto

  1. M

    Fursa ya Kilimo cha Korosho Manispaa ya Lindi

    Kwanza heshima yako mkuu, Pili hongera kwa ujasiri uliochukua, nami kama kijana kuna la kujifunza hapa. Binafsi nimechelewa sana kuon ahili bandiko hapa jamvini, kwa sababu ya kutingwa na shughuli za hapa na pale. Naomba kama fursa itapatikana sehemu nyengine unijulishe, maana mimi mwenyeji wa...
  2. M

    Tafadhali naomba mwongozo wa namna ya kufuga Kasuku

    Yeah kumbe angalau una experience na hawa ndege, binafsi nawahusudu sana. Naona ndoto yangu inataka kutimia sasa. Changamoto iko hapa, mambo ya inbox siyajui i mean PM huwa wanatumaje, msaada please kwa anayejua...
  3. M

    Tafadhali naomba mwongozo wa namna ya kufuga Kasuku

    Kwakweli umekuwa mdau muhimu sana juu ya jambo langu hili. turudi kwenye point yako sasa, nadhani sio mabaya tukiwa na matokeo mfukoni coz inaonekana kidogo pana "usumbufu" kupata kibali cha ndege hao. sasa we fanya hizo connections zako kisha unipe mrejesho tafadhali, nipo "serious" na hili...
  4. M

    Tafadhali naomba mwongozo wa namna ya kufuga Kasuku

    Ahsante, ila sijaelewa umemaanisha nini hapo. unaweza kufafanua zaidi.?
  5. M

    Tafadhali naomba mwongozo wa namna ya kufuga Kasuku

    Ahsante mdau, ngoja nifanye ili nijue tunakwama wapi.? Nisije nikafeli kabla ya kujaribu.
  6. M

    Tafadhali naomba mwongozo wa namna ya kufuga Kasuku

    Ahsante sana mdau kwa maoni yako, angalau sasa nimejua pa kuanzia..
  7. M

    Tafadhali naomba mwongozo wa namna ya kufuga Kasuku

    Ahsante mdau kwa maoni yako, ila me napenda kufuga just for funny, na sio kwa kiwango cha kuuza. kwa mantiki hiyo basi nikipata hata wawili wananitosha kabisa.
  8. M

    Tafadhali naomba mwongozo wa namna ya kufuga Kasuku

    Habari za jioni wanajamvi, Kichwa cha habari chajieleza hapo juu, wadau nataka kufuga Kasuku lakini sijui naanzia wapi. Tafadhali naomba mwongozo wenu kwa mtu anayejua chochote kuhusu kasuku, kuanzia upatikanaji wake, chakula chake, makuzi yake pamoja na changamoto nyengine. Natanguliza...
  9. M

    Baada ya kujaribu kwa muda mrefu atamae leo nimejiunga na jamii forum habari za muda huu members

    Karibu sana hapa jamvin mdau, hamu yako iendane na jinsi utakavyolifanya jukwaa hili lipate hamu na wengine watamani kama wewe. Ni hayo tuu, kareeb sana. Msela Ngoto
  10. M

    Kati ya Nissan Note au Corolla Fielder

    kweli kabisa kaka, had leo naziona volkswagen za engine nyuma ambazo hazitumii radiator watu wanazitumia kwa aliyeitunza lakin. bado mtu anaonekana mjanja kwa sababu ameitunza halaf ameiremba kwaiyo ina compete na magari mapya mtaan. Gari kama gari haina tatizo, tatizo lipo kwa mtumiaji.
  11. M

    Kati ya Nissan Note au Corolla Fielder

    Nikupe uzoefu wangu, nimeshawahi kutumia Mazda huko awali had watu wananiuliza ebana tunaambiwa hizi gari vimeo sana sasa mbona wewe hata siku moja hatukusikii au kuona gari yako inasumbua.? jibu langu likawa moja tuu: Watu wengi tunapenda sana kuamini maneno ya kuambiwa..
  12. M

    Kati ya Nissan Note au Corolla Fielder

    Ni kweli kabisa mdau, wazungu wanasema "Dont hate the game, hate the player" sisi tunalaumu gari za Nissan wakati matunzo na matengenezo yake hatuziwezi sidhani kama imekaa vizuri hii..
  13. M

    Kati ya Nissan Note au Corolla Fielder

    Mtaalam Boeing 747 Ama kwa hakika umeongea ya kutoka moyoni kabisa. Gari za Toyota zinasifika kwa Reliability wakati agri za Nissan zinasifika kwa Durability. sasa hapo nadhani kabla hujanunua gari kwanza tujitafakari tunahitaji nini kwanza ili usije ukavamia msitu na wembe. mwisho wa siku...
  14. M

    Kati ya Nissan Note au Corolla Fielder

    Mkuu Bila bila Sitofautiana sana na wewe, ni jambo lililo wazi kwamba spea za Nissan ni bei ya juu tofauti na Toyota. Sasa kama Plug original za Nissan NGK zinauzwa elfu 35 kwa moja wakati za Toyota zinauzwa elfu 6 - 10 Kwa moja kwa nini mtu asikwambie Nissan ni gari mbaya.??
  15. M

    Kati ya Nissan Note au Corolla Fielder

    Mkuu New Nytemare habari yako mdau, Ebana kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe, hii mentality imeshajengeka sana kitaan kwamba ukitaka kununua gari nunua Toyota by defaulty, lakini zipo brand za Toyota kwa mfano Oppa had leo nyingi zipo juu ya mawe. lakin tunaambiwa kwamba spea zake bei...
Back
Top Bottom