Ukilipa fedha isipoonekana kwa unaye mlipa Huwa imekaa hewani. Muda wa kurudi kwenye akaunti Yako Huwa haufahamiki. Yaweza kuchukua siku 3,4 lakini ni uhakika fedha itarudi kwako.Trh 23 ilinitokea hii hali Hela ilirudi kwenye akaunti trh 28.Hata bila kuwasiliana na Nmb itarudi TU niamini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.