Bora ya ninyi watu halmashauri mtama hatulipwi kabsa hoja ya kulipwa wanaojitolea mkuu akadai hawezi kulip wanaojitolea ilihali tupo kama 9 tu ila alikataa kulipa na walivyo na roho ngumu wanataka uwafanyie kazi zao bila ya hata kutoa hela ya bando wala maji hata ukiwa haupo ofisini wanataka...
Baadhi ya Wanafunzi UDOM wamekwama kwenye issue ya usajiri na hii ni kutokana na mfumo wao wenyewe kuna muda unakuwa mzito ukiomba ktu kinachelewa muda mwengine control numbers zinakuja mbili mbili sasa kama sasa hivi dirisha limefungwa na hakuna dalili za kufunguliwa hadi leo na wakati huo huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.