Ni diwani wa Kata ya Masama Rundugai iliyopo wilaya ya Hai kwa tiketi ya Chadema ndugu Elibarik Lucas Mbisse amehamia chama cha mapinduzi.
Mambo ni Moto
Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana, yeye hajui aanzie wapi? Nilienda nae HQ NECTA wakasema wanashughulikia lakini bado tatizo lipo palepale, ameambiwa ajaribu kuangalia jina lake kama lipo kwenye list ya wenye vyeti incomplete that's why nahitaji kama kuna mwenye hiyo list ya halmashauri ya wilaya ya Hai au mkoa wa Kilimanjaro
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, naomba kwa yoyote mwenye list ya majina ya wenye vyeti incomplete katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai au Mkoa wa Kilimanjaro anisaidie.
Akhante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.