Recent content by Msangazi Jonas

  1. M

    Kunukuu maandiko ya kidini katika matukio na harakati za kisiasa ni upeo hafifu wa fikra

    Kwa mwenye akili na fikra chanya atajengeka na kauli zinazomrudisha ktk hali ya ubinadamu.. Siasa za Tanzania ni ushetani ambao uliobobea na wanasiasa wanauchukia ukweli kwa maana utawafelisha kutokana tamaa na matendo yao wengi sio rafiki kwa wananchi wengi na taifa lao.
  2. M

    Viongozi kiasili wapo kuwatumikia wananchi na siyo kujineemesha kwa mali

    Uongozi ni kitu cha asili na viongozi wapo kwaajili yetu wananchi na wao hawakupaswa kulipwa mishahara zaidi ya serikali kuzingatia viongozi wanapatiwa huduma za chakula, afya, maji, umeme n.k . Kwa maana kama ni watoto wao watasoma bure katika shule zetu za Serikali na pia wakitaka watoto...
  3. M

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Uongozi ni wito ila kwa sasa imekua ajira ambayo watu wanauana,wanatekana na kuumizana kwa kulinda nafasi zao kwa maana wanaamini wamekosa asili hiyo na wanafosi kwaajili ya mishahara tuu na ndio madhaifu yanapoanzai
  4. M

    Anthony Mtaka VS Waziri wa Elimu ni matokeo ya ombwe la Katiba ya sasa katika ugatuzi wa madaraka

    Kuna muda tusiwe personal sana kwa maana wanaotaka katiba ibadilishwe inabidi pia wapatiwe nafasi kwa kuwa uhuru ni wetu kuchagua kwa lengo la kunufaisha wengi na sio yale wanayotaka wengine muyadharau na kuwaona hawana fikra.. Original niqas don't fear changes only fake ones do ✍🏾👂🏾🙏🏾
Back
Top Bottom