Maendeleo ya taifa la Tanzania unategemea rasilimali pamoja na namna rasilimali zitakavyo simamiwa.Miaka ya hivi karibuni idadi kubwa ya vijana wanehitimu na wanaendelea kuhitimu katika shule za msingi na sekondari,vyuo na vyuo vikuu ndani na nje ya nchi. Ni jambo la kujivunia kutokomeza adui...
Naunga mkono pia hii sio kwa wabongo tu.
Wazungu wanafunga cctv camera, wanatumia software solutions,open office n.k na kukulipa kutokana na muda utakao kaa kazini lengo ni kuongeza uaminifu wabongo wanafanya kazi kijanja janja ila anataka faida kubwa.
Huwez amini kuna watanzania wanakampuni...
Tatizo sio vijana uaminifu umepungua kwa watanzania asilimia kubwa sema tu vijana wengi njaa kali na wanaofungua miradi wengi wanataka kutumia vijana bila kuangalia maslahi ya vijana.
Hata wazee walio makazani kama ingekuwa unalipwa kwa poductivity yako nahis wengi hata 50% ya mshahara wasingepata.
Fursa ya nafasi ya walimu wa 4 wakike kufundisha geography na history nchini india,jimbo la Tamil Nadu. Meal and accommodation utapatia, pamoja na visa. Kujiendeleza kimasomo inaruhusiwa. Ukiwa tayari njoo na CV pm.
Mkuu njia rahisi ni DHL ijapokuwa ni gharama kubwa ila uhakika mkubwa wa mzigo wako kupokelewa.
Nilituma sample za viungo ujermani mwaka jana nilituma kg 4.5 ya sample mbalimbali kwa uwiano wa 500 g
Iriki,karafuu,kahawa,pilipili kichaa,tangawizi,manjano,mdarasini na lozera
Nililipa laki 3 na 90...
Elimu tunayoipata kwenye vyuo vyetu bado haipo kwenye kutufanya tuendane na mifumo mipya ya ki intelegensia. Chini ya 1% ya graduate wanaweza kufit kwenye kitengo kwa kuwa na ufanisi kwasababu hiyo ngumu kuweka criteria ya graduate ndio atafaa.
Kipimo cha intelligence hakipimwi na kuwa graduate au la, Bali uwezo wa kutumia maarifa aliyonayo kusaidia jamii na taifa kwa ujumla usimpoteze kijana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.