Yawezekana download kutoka play store app inayokwenda kwa jina la "APKshare" au "Cshare" japo cshare ni lazima nyote muwe mmeinstall katika simu zenu, Cshare ni nzuri zaidi kwani unaweza kutuma app zaidi ya moja
Kwa sasa aljazeerasport haipatikani waliuza hisa zao kwa BEIN TV na wao hawajiachia Kama tulipokuwa tunawapata aljazeera kirahisi chini ni moja ya email zao Kuja kwangu:
Dear Sender,
Greeting from beIN sports Channel
We regret, but we do not have the broadcast right in Tanzania.
Best regards,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.