tatizo huyo mwanao anafuatiliwa na nguvu za giza itafika kipindi watamwambia ajiue au ajitumbukize shimoni au akikua atakuwa na tabia za ajabu ajabu cha msingi mwombee mwenyewe au mpeleke akaombewe halafu chunguza kama huwa mnaangalia movies za kutisha pamoja huwa sio vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.