Recent content by Msafili Kondoo

  1. M

    Inasemekana Zimamoto wametoa tena majina ya nyongeza?

    Majina ninayo na Usaili utafanyika ukonga hata kwa wale wa mwanzo walioambiwa usaili ungefanyikia kurasini: tuma herufi ya jina lako nikuandikie yalitoka jana kwenye gazeti la uhuru
  2. M

    Majina walioshortlist zimamoto

    Haya ni majina ya category ipi Nataka Konsitebo kama wametoa? Nijulisheni tafadhali
  3. M

    Hata mi naitaji kuwa na mpenzi jamani, Kama ntapata ntashukuru.

    Habari za leo wana Jf! Poleni na Mihangaiko ya kila siku. Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu ni miaka 26 mrefu futi 5:6 Naishi dsm, Shida yangu ni kwamba natamani sana na mimi kupata mpenzi ama Gf ambaye atanipa japo mawazo mbali na kufurahi kimapenzi, Ni mda...
  4. M

    Zima Moto Updates

    Konstebo vipi hawajatoa? Nijulisheni jamani presha inapanda inashuka!
  5. M

    Kazi Coca-Cola Jamani

    Daaah watu mnakuja kutuomba ushauri tu wa kuitwa kenye usali wakati hukutushirikisha wakati unaona tangazo labda na wenzio wangeomba huo ni uroho alafu unaitwa unaanza kutusumbua si ujiamini kama ulivojiamini kuomba?
  6. M

    Nina ujauzito - nimekata tamaa

    Usifanye hivo najua unatatizika utaishi wapi huku na mimba nitumie namba ya huyo mwanaume alokuacha nikusaidie juu ya hili.... Pole sana Jack nitafute yataisha.
  7. M

    Kwa wakubwa tu

    Alo kwambia hilo nalo tatozo nani?
Back
Top Bottom