Wazalamo tunasema "Kalaga baho na ubozi wako" ! Mkoa ushaanua jamvi tangu Ijumaa baba, ngoma ishatua kwa Bashiru A Kakurwa !Hizi sio za kunyapia nyapia, ni "naked truth ". Tunaojua tunajua.
Afu we Chipoku si uko mkoani wewe!?! Unajifanya mzalendo ? Nitafute kabla sijakutaja RASMI
Tr
Kabisa mkuu ! NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA KUONESHA MSISITIZO. POLEPOLE H SI MSAFI HATA CHEMBE. NI MLA RUSHWA ZOTE YA NGONO NA FEDHA. KIPOCHI CHAKE NI MAGOTI, YULE MWENYE KILEMA CHA NUNDU YA MGONGO; MSAIDIZI WAKE NA NDIO MKUSANYAJI NA MTENGENEZAJI WA MAPATO YA H POLEPOLE. KIJIWE CHAO NI HARARE...
Hii ni aibu tena ya mwaka 2020 kwa CCM MKOA WA DSM KUPITIA JIMBO LA UKONGA. Mungu kawaumbua. Ripoti kabla haijafika wanakoipeleka CC kwa Honorable J P Magufuli na jopo lake ishavuja. Aibu sana sana kwa CCM Mkoa wa DSM, wajitafakari sana. Huyo Tukiko hata mtaani kwake hawamfahamu imembeba hela...
Ukonga ni miongoni mwa majimbo 3 ambayo yapo katika Wikaya ya Ilala. Wengi wa wakazi ni wa kipayo cha chini na wachache cha kati.
Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi, kama kawaida mengi hujitokeza. CCM Ilala, DSM na taifa wasipotafakari 2020 jimbo tutaligawa kwa Upinzani tena. Zaidi ya wanachama...
Huku katuacha zaidi ya yatima. Ukonga mzima utadhani haipo dsm; kwenye mafrai ova na makorokoro mazuri mno.
Any way tunaomba ccm ukonga& juu msitufanyie viroja sana ! Watia mshawajua tuleteeni anayejielewa. Kuna dada mmoja hapendi kujionesha , anaeleweka mno na ana nia ya ukonga ya kweli ! Yuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.