Recent content by MSABATO12

  1. M

    CRDB mmezidi na mnakatisha tamaa

    Uongozi wa hii bank unatakiwa kutega sikio na kuwasikiliza kina kimei a wafuate watachoshauriwa. Bila hivyoo bank itashuka sana na vibenk vidg dg vitaanza pendwa na wateja zaidi ya hii crdb
  2. M

    GE2025 Mary Nagu achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Hanang

    H Izo za pesa za kukata unaongelea labda zawalimu ama wafanyaakazi wa chini kbs kwenye taasisi. Hv unafahamu thaman ya 1b. Ukisema ule kila siku laki ili uimalize utakaa nayo miaka 27. Unadhan hao wana kimei wana B ngapi?? Siwanalisha ukoo wako wote mpaka mnakufa
  3. M

    GE2025 Mary Nagu achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Hanang

    Jidan Jidanganye. Wafanyakazi serikalini, wanasiasa. Wako wenye mali na pesa ambazo huwez hata kuamini. Na hawaweki public. Zinasimamiwa na hwatu wengine tifauti. Then unafahamu maana ya hisa kwanza?? Na wana hisa kibao kwenye kampuni tofaut tifauti ndani na nje ya nchi
  4. M

    GE2025 Mary Nagu achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Hanang

    Kwan biashara yamtu mpka uijue ww ama mpaka azitangaze?? Kuwa ni zake?? Makampuni mangap hujui wamiliki wake?? Magorofa mangapi haujui wamiki?? Utumiage akili. Watu wana mali kibao magorofa ndani nje ya nchi.
  5. M

    GE2025 Mary Nagu achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Hanang

    We Kiazi kwel. Yaan pesa alizonazo kimei baada ya miaka mi5 ziishe?? Hahaha hauna akili kbs. Mtu ana hisa zake nyingi pale crdb. Hata awe anakula bata miaka yote atabaki kuwa na maisha mazuri hadi wajukuu. Unafikiri alikua mwalamu ama askari?? Ulizia mshahara wa MD wa crdb ndo ujue km pesa...
  6. M

    Je? Kuna uwezekano wa kupata line ya pocket wifi router?

    Wakulungwa. Swali langu ni km nilivyouliza. Km mtu ana router na hana line. Kuna uwekano wwt wa kupata line ambayo itakua na vifurushi maalum kwa ajili ya router husijka?
  7. M

    Wanasheria wa Lissu hawajui suala la muda katika kumaliza kesi

    Kwenye suala hilo mawakili wa lisu siyo waamuzi. Mahakama ndiyo inayoamua. So suala la muda unaliona ww ila Mahakama ina taratibu zake kwenye kutoa maamuzi ambazo ziko nje ya uwexo wa mawakili wa lissu
  8. M

    Wataalamu wa madini msaada

    Shukran kaka
  9. M

    Wataalamu wa madini msaada

    Shukran mkuu. Na je? copper bei yake kawaida kwa ton huwa ni ngapi kkiongozi. Mfano yenye 3.25
  10. M

    Wataalamu wa madini msaada

    Shukran. Je? 3.25 ni grade bora zaidi ama??
  11. M

    Wataalamu wa madini msaada

    Taaluma ya mtu utaijuaje humu bila kchangia kwenye ishu km hii. Sikujua km hadi humu kuna watu viazi km facebook.
  12. M

    Wataalamu wa madini msaada

    Ndo nishaelezea kwenye post juu kule
Back
Top Bottom