Recent content by Ms._wise_always

  1. Ms._wise_always

    Elimu bora vyuo vikuu inawezekena tz ikiwa chini ya lowassa

    LOWASSA na ELIMU YA BURE CHUO KIKUU inawezekana kwa kufanya yafuatayo 1.Elimu ya BURE inawezekana kwa kuachana na mbio za MWENGE za kila mwaka zinazogharimu Trillion 1.5 na zaidi 2.Elimu ya bure Inawezekana kwa SERIKALI YA LOWASSA ambayo imepanga kufuta MSAMAHA mirahaba ya KODI YA MADINI...
  2. Ms._wise_always

    MAPINDUZI YA LOWASSA , kumbuka ya KENYATA ILIKUAJE

    jamani hz ni pumba sio tetes⬇⬇ Naituma kama nilivyopokea :- Tetesi. Kikao kinachoendelea Dodoma cha ccm, Kimebaini yafuatayo:- 1. Gazeti la uhuru na habari leo, yameshindwa kabisa kumnadi mgombea wao, kwa sababu Watu hawana muda nayo na yameisha dharaulika...
  3. Ms._wise_always

    Dr. Slaa akanusha Habari zilizoenea kuwa amejiuzulu

    HABARI ZA HIVI PUNDE: "HAKUNA SINTOFAHAMU YOYOTE KATI YA YANGU MIMI Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundulisu na wengineo kwa ujio wa mgeni Mhe. Lowassa wala hakuna chochote kilichoharibika ndani ya CHADEMA, NCCR, NLD, CUF wala kwa wanachama, wafuasi na wapenzi wa UKAWA. Myaonayo na myasikiayo kwenye...
  4. Ms._wise_always

    Baadhi ya Kazi za mikono ya Lowassa kwa Jamii

    1.Ujenzi wa mradi mkubwa wa maji ziwa victoria. 2.Ujenz wa Shule za sekondari katika kila kata nchini. 3.Usimamizi wa ujenzi wa chuo kikuu Dodoma. 4.kuvunja mikataba ya city water na ule wa kikoloni wa matumizi ya maji kwa watanzania katika ziwa victoria. 5.Usimamizi wa ujenzi wa kitega...
  5. Ms._wise_always

    Mange Kimambi ndani ya vazi la Bikini

    Kakosa soko itakua hii cyo picha ya maadili yetu hata aolewe na mchina labda ingewekwa kweny mitandao wanayoona wazungu walio muoa pekeyake aache upumbavu, na hata kwa kutangaza Bidhaa kuna models maalum sasa basi aseme na yeye kawa model
  6. Ms._wise_always

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    TAFAKURI KUHUSU TUHUMA JUU YA LOWASA,( ukiambiwa tafakari,akili unazo) 👇👇👇👇 i) wanafunzi 1000 wakiandamana nakutoa 1000 wakatoa mchango wao kwa Lowasa 1,000,000/ je hili lafaa kupigiwa kelele eti wanatoa wapi hela?,je hili linawaondolea haki yao ya kudai...
  7. Ms._wise_always

    GE2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

    Malata sio hicho tu kama na yeye anaweza kuigiza basi aanze na kuweka MB 200 kwa kila mtanzania ili awe Kiongozi bora😂😂😂😂😂😆😆😆😆
  8. Ms._wise_always

    GE2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

    Masaki UMEKOSA BUSARA - Wacha watanzania wafanye wanayo yaona ni matumaini kwao�� Wewe kama nani kusema michezo ya kuigiza na una uhakika gani wa kufanya hivyo na kama ww unajua madhubuti siri hiyo ya watanzania kutoka sehemu mbalimbali kuwa wanaigiza basi tunaomba usiongee tu...
  9. Ms._wise_always

    Wanafunzi Vyuo Vikuu kuandamana kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Urais

    😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷HAKUNA UKWELI HAPO NI FITNA TUPU, LOWASSA HAJAWAHI TOA HONGO DHIDI YA KAMPENI au chochote kinachoendelea kumsupport yeye...
  10. Ms._wise_always

    Pigo la tatu kwa Lowassa, bado la Mwisho mwezi Mei

    Nimekuona ww huna busara wala hujui unalo liongelea ni vyema kama ni kijana au mtu mzima na akili ni mamu ukitoa hoja ume na facts co statement za kuiga iga tu 😏
Back
Top Bottom