Recent content by mrxtz2026

  1. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Pia hoja na kigezo chao kingine na ambacho ni kikubwa kwamba "Serikali ndio inayosimamia sheria", hivyo basi kuzuia uchaguzi ni kuigishia serikali maana sheria ya uchaguzi ni sehemu ya sheria ambazo serikali inazisimamia. Hoja yao hii inapaswa kujibiwa kwa Vielelezo sio kwa maneno ya jumla...
  2. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    UCHAMBUZI NA TATHIMINI YANGU Katika Hatua hii ya Kesi "Final Submission" LISSU akijitetea mwenyewe kwa kufanya Final ya Ushaidi, hoja na Kukosoa miendendo ya Kesi, Mashaidi wa mashtaka na Mengineyo mengi. Linaibuka swali la Kisheria. Je, maneno yanayodaiwa kusemwa tarehe 3 Aprili 2025...
  3. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Kwa maoni yangu: PW5 nae ni shaidi wa mchongo. Sijawai kuona mtu aneweza kuikana dini yake, yani hata uniamshe usingizini nitasema dini yangu ni fulani tu, hata iweje siwezi kujiingiza kwenye sehemu isiyo yangu. Huyu ni shaidi muongo
  4. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    (PW1) Bagyemu alifunguwa shauri kana kwamba kesi ni ya wizi wa maembe, pia hakuchukuwa Muongozo kutoka kwa ZPC wa kanda yake. Yaani kajichukulia maamuzi binafsi toka mwanzo, amekuwa juu ya wakuu wake. Hahahaha, Dah nakumbuka nilipitia ushaidi wote wa kesi hii, Ushaidi wa mashitaka na utetezi...
  5. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Udikteta ndio chaguo bora la utawala

    Naomba nichangie hoja kwenye uzi huu. Kwanza kabisa Demokrasia sio jambo baya na demokrasia kazi yake ni kulinda haki hili udiktekta usitokee maana udiktekta ni kitendo cha kukanyaga, kuondoa na kudhoofisha haki za wengine, Nianze na kukupa orodha ndogo ya haki za msingi za kibinadamu. 1. Haki...
  6. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nashitakiwa kwa kosa la kutengeneza "Nia ya kuitishia serikali ya JMT"

    Hakuna porojo ninayotoa hapa, na nimekutajia ibara za kikatiba na vifungu vya sheria ambavyo unaweza kuvithibitisha hata sasa. Nenda kasome katiba kwenye ibara nilizokutajia hata sasa na utapata jibu sawa na nililokupa. Pia bandiko langu limeuliza maswali mengi tu umekimbia mbio na hutaki...
  7. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nashitakiwa kwa kosa la kutengeneza "Nia ya kuitishia serikali ya JMT"

    I Think ukusoma vizuri bandiko langu, hoja unayojaribu kunipatia sio sehemu ya miongoni mwa maswali yangu, kwenye bandiko langu sijasema kukinukisha, kuvuruga uchaguzi au maneno hayo mengine ni demokrasia, bali nilikueleza misingi ya kisheria kuhusu ibara ya 13(6) inayosema "hakuna atakae...
  8. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nashitakiwa kwa kosa la kutengeneza "Nia ya kuitishia serikali ya JMT"

    Unachokiabudu kwenye kauli zako hizi ni "Udiktekta dhidi ya demokrasia".
  9. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania HONGERENI CCM kwa kucheza karata zenu vizuri

    I know it long time ago, ni vile siwezi kupiga kelele tu. Demokrasia ya kisiasa bila Maadili ya taifa na usimamizi wa kitaifa ni Takataka isiyofaa kabisa.! Tembelea: www.katibampya.com
  10. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nashitakiwa kwa kosa la kutengeneza "Nia ya kuitishia serikali ya JMT"

    Kwa mujibu wa sheria hipi iliyosema. 1. Kusema neno Kukinukisha ni kosa la jinai.? 2. Kuzuia Uchaguzi mkuu ni kosa la jinai.? 3. Kuvuruga uchaguzi ni kosa la jinai.? Mimi sina haraka na maamuzi ya mahakama lakini naomba nikukumbushe kwamba ibara ya 13(6) ya katiba ya mwaka 1977 inasema kwa...
  11. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Heche anasema chukieni vyombo vya ulinzi? Mwambieni aliyechanganyikiwa aondoe ujinga huo!

    Demokrasia ya kisiasa bila Maadili ya taifa na usimamizi wa kitaifa ni Takataka isiyofaa kabisa.! Tembelea: www.katibampya.com
  12. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Tanzania itahitaji miaka zaidi ya elfu moja au zaidi kupata mageuzi ya kweli

    www.katibampya.com
  13. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Serikali ya majimbo italeta ukabila, Tunachohitaji ni Katiba ya Warioba. Ghana, Malawi, Zambia na Botswana zina mfumo kama wetu ndio maana zimetulia

    Naomba kuchangia mjadala huu kwa heshima kubwa kwa mawazo yaliyowasilishwa, na kwa lengo la kuongeza kina cha uchambuzi badala ya kupingana na hoja iliyopo. Kabla ya kuingia kwenye mchango, naomba nianze kwa kuweka wazi kwamba mjadala huu mzima unahitaji kujibu swali moja ambalo halijaulizwa...
  14. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Spy Catcher: Kuna Ujumbe wa siri ulitolewa hapa na Dkt; Nchimbi kabla Kujiuzulu kwake. | Code +255

    Maswali ni mengi. "Yuko wapi Dkt; Nchimbi...?"
  15. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Mahakamani leo uligeuka uwanja wa huzuni na machozi

    www.katibampya.com
Back
Top Bottom