Recent content by Mrs Van

  1. Mrs Van

    JamiiForums Tanzania Hili la Kutaka Ma Bus yote yaingie MAGUFULI BUS TERMINAL , ningekupongeza bwana Chalamila

    Hili la mabus yote kuanzia mbezi ni shida nyingine. Kuna siku nikasema ngoja nipande bus kwenda moro nikapandia shekilango tukapelekwa mbezi. Nikaenda chooni, mpokea hela anasema maji hamna. Kwahiyo ukitaka kujisaidia ununue maji dukani halafu ulipe tena kuingia chooni. Vyoo ni vichafu havina...
  2. Mrs Van

    JamiiForums Tanzania Ulinzi kwake ni Muhimu kabla ya 13:08:2026

    Nani huyo? Tumpendaye au tumchukiaye?
  3. Mrs Van

    JamiiForums Tanzania Ni mchallange vipi huyu mtoto maana akili yake imevuka mipaka ya elimu na hataki shule

    Yani walimu wameshindwa kushauri kitu cha kufanya zaidi ya kukwambia umuhamishe mtoto? Walimu wanawajua watoto wetu zaidi ya tunavyowajua sisi. Shirikiana na walimu vizuri utapata ufumbuzi.
  4. Mrs Van

    JamiiForums Tanzania Watu wamejimaliza sana kumpa pesa ya hongera Zuchu, sasa je mkiwa na majambo yenu mnatarajia naye atafanya hivyo?

    Diamond anaonekana anaishi na watu vizuri. Anaweza asiwe anaonekana kwenye matukio ila behind the scene anafanya vitu.
  5. Mrs Van

    JamiiForums Tanzania Kumbe kutafuta mtoto sio KAZI nyepesi

    Poleni wenye changamoto hiyo
  6. Mrs Van

    JamiiForums Tanzania Unaishije na Vijana Balehe?

    Umri wa balehe hasa kwa wasichana ni balaa. Mtoto anaamka kakununia mzazi. Ukimwelekeza kitu anaona unamchelewesha. Ukimsema mdomo unarefuka kama samaki chuchunge.
  7. Mrs Van

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania kuvaa nguo fupi inatafsiriwa ni uhuni ama umalaya?

    Siku hizi watu wanavaa tu sema ufupi wa club sio ufupi wa kariakoo. Zamani bibi zetu walikua wanavaaga nguo fupi na kuvuta sigara. Miaka ya kati ikawa kufanya hivyo ni uhuni ila siku hizi wadada wanavaa nguo fupi sana tu na sigara wanavuta fresh. Nenda kwenye banks, hotels etc. viskirt vifupiiii.
  8. Mrs Van

    JamiiForums Tanzania Ngoma zimeanza usiku huu katika kanisa la walokole

    Hapo ndipo huniacha hoi sana
  9. Mrs Van

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niweze kupakua videos youtube kwa kutumia PC?

    Kuna moja nimekua nikitumia ila siku hizi unalipia. Ila zipo app nyingi wewe ingia google search utapata
  10. Mrs Van

    JamiiForums Tanzania Mazuri na mabaya ya damu group O

    Hivi inawezekana mtoto mmoja kati ya watano akawa na kundi O huku wazazi na watoto wengine wanne wakawa na kundi la damu tofauti?
  11. Mrs Van

    JamiiForums Tanzania Muungano wetu na methali ya mchelea mwana kulia, hulia mwenyewe

    Arudi kwao hatumtaki yeye na huo muungano
Back
Top Bottom