[hhuQUOTE="Mzigua90, post: 27718776, member: 248688"]Nashangaa kweli sherehe ya kiimani kuwa ya kidunia. Sema kapigia mahesabu hela hapo mkuu maana anajua mastaa wanapenda sifa watashindana kumtunza wakati yeye anarudisha gharama zake
huyo chausiku kapiga kushida chake wala hana habaree
Usimtegemee Mwanadamu akuonyeshe njia ya Mbinguni soma neno la Mungu likae kwa wingi ndani yako ili uachane na injili za miujiza na kuombewa,Tujifunze KUOMBA NA KUJIOMBEA WENYEWE.Common sense ni muhimu.Maana sasahivi mi naona kama kuna kitu kama Church Bussness.Usipotumia akili utajikuta...
Putin na wengine wote ambao hamjaoa muombe Mungu akupe mke mwema maandiko yanasema hutoka kwa Mungu.Huyo uliyenaye hata kama una uhusiano naye wa miaka 10 humjui wala humfahamu hata nusu ukishaoa tu na ukaanza kupitia changamoto za hapa na pale katika ndoa ndo utaelewa uko na mtu wa aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.