Recent content by mrs j

  1. M

    Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

    hayo maelezo yako bado yanaonesha mmojawapo kwenye hiyo union ana walakini, mbinafsi na mficha ficha mambo na bado anapenda ujinga ujinga fulani na watu fulani nje
  2. M

    Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

    changanya na yako
  3. M

    Uwe na aibu ya kufanya haya

    1.Uko ndani ya ndoa,mwaka wa kumi sasa na hamjapata mtoto,mkeo hospitali zote kamaliza na anaambiwa hana tatizo,kila akikwambia na wewe ukapimwe hutaki unajidai huna tatizo,ndo nini sasa hiyo? Kwa nini usipimwe mkajaribu IVF? 2.Ukienda Rose Garden we ndo Maprosoo kazi kuzungusha raundi huku...
  4. M

    Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

    hahahaa...itakuwa ebola kweli dhuuuu. yani watu mnaishi na wenzenu kimachale machale kama mlishikiwa mtutu wa bundiki kuwa nao. unaficha ficha tu...arghh... Mungu kisaidie kizazi hiki
  5. M

    Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

    kwa nini uongee pumba hivyo? utani utani ndio huleta kweli hayo mnayotaniana. ukificha ficha simu wewe si mwaminifu tu. kwa nini uentertain vitu mwenzio hapendi ? inaelekea unapenda sana kufurahisha wengine at your partner's cost of hapiness. haipendezi
  6. M

    Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

    you are not serious. ndio mnavyopigania kuficha hivyo? ujinga mtupu
  7. M

    Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

    kumbe nia yako uwe na friends wa kike...yale yale. utani wa ajabu ajabu wa nini? ndio huo huo unaolead to hayo hayo matani kuwa kweli. huna nia njema wewe. na ninaamini mwenzio hakuwa mjinga kukumaindi kwenye case zote mbili
  8. M

    Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

    hakuna partner anaempenda mwenzake akawa na siri moyoni. ukiwa na siri moyoni una walakini wewe. swala ni kwa nini ufiche simu, usianze kujihisi tu kwamba mwenzio akigusa simu yako anakuspy au unajihisi hisi bila sababu kama kweli hiyo sababu huna
  9. M

    Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

    swali ni kuwa kwa nini umzuie kushika kama huna jambo linaendelea? hata ukitumia ya ofisi kufanya yasiyofaa ni unafiki.
  10. M

    Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

    wewe una mambo mengi ndio maana
  11. M

    Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

    nyie mna chembe chembe za uchepukaji ndio maana mnasapotiana. mngelifikiria kabla kwamba mapartner watawabana na msiwe nao ili muwe huru na simu zenu na mawasiliano yenu ya vificho.
  12. M

    Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

    unafiki mtupu. unamnafikia mwenzio
  13. M

    Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

    inategemea unainteract vipi na hiyo jinsia nyingine. yeye kukukataza bila sababu
Back
Top Bottom