Group O huwa hawashambuliwi na maradhi ya mara kwa mara. Mimi sijaumwa mda mrefu sana, nakumbuka mara mwisho kuumwa tena malaria ni 2004. Baada ya hapo nikienda hospital kufanya checkup kila mwishoni mwa mwaka niko fit kabisa.
Ila kwa swala la HIV siwezi ongelea maana huwezi jua pengine jamaa...
Sikia shy land kusema kuwa kimashine siyo cha kwake ni kuepusha shari kuwa kubwa ila inavyoonekana aliamuwa kukanunuwa hako baada ya kuona haridhiki na juhudi zako kitandani. Na ni tatizo linalokua siku hadi siku kwa baadhi ya wanawake wengi kutoridhishwa ipasavyo. Hata hivyo shukuru Mungu...
Onana na watu wa forever living wana product za watu wembamba zinazorudisha appetite na Kuwa na afya nzuri na atapenda kula tena . waone hao watakusaidia
Katege haya ninayoyaongea ni moja ya kazi ya mdomo so kama wewe police na nililosema limekuingia basi meseji sent. Hamfai jeshi mjipange baadhi wumefeli form 4 either kwa uzembe or bangi za skonga ukaona kazi ngumu ukakimbilia kuwa police, tutegemee nini kama si police wasiojielewa? Halafu eti...
Saaaaaafiiii sana tena waongeze bidii ya kuwavamia. Majambazi wanashinda na panya road lakn mkisikia watu wameandamana kimbelembele kuwapiga tena mnawaendea huku mmevaa kimapambano kwa watu ambao hata jiwe hajalishika kama silaha. Shenzi na bado
hebu jiweke kwenye viatu vya huyu boss. then feel maumivu atakayoyapata pindi tukio kama hili likikutokea? kwa mtu uliyemtoa mavumbini ukamsafisha mwenyeshe akang'aaa then malipo ya wema wake ni kumchukulia mke wake? sikia, akili yako isidanganywe na uzuri wa huyo binti kwani hakufai. tena...
kutembea na mke wa boss wako umekosea sana bora hata ungetembea na binti yake. akijuwa ukweli hesabu siku zako either za kuishi au kudhalilika. vungasha virago vyako ondoka. coz huyo dada kama angekupenda pia angekuwa kashafanya uwamuzi siku nyingi wa kusepa na wewe. za kuambiwa changanya na zako
kingine; kama sasa hivi hubby ni nyingi....baby umekula...anakupikia vizuri sana...anakupokea ukirudi....hivi vyote vinote down...baadae akianza kujisahau tu MKUMBUSHE!!! ili arudi kwenye mstari na kurekebisha alipokosea. karibu kwenye ndoa kaka ni tamu si uwongo.
kuoa lazima ni hitaji la kila mwanadamu unaweza ukabishaaaa weeee but iko siku tu utaoa na kutulia cha msingi usichoke kuwa na mawasiliano naye inakuwa rahisi sana kurekebisha tatizo mapema linapoanza tu kujitokeza. maana sisi ni binadamu sasa yeye akinuna ukiona hivyo lazima kuna jambo lako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.