Recent content by mrpius

  1. mrpius

    JamiiForums Tanzania Msaada maduka ya saa kwa bei ya jumla

    Salaam, Naomba msaada kwa mtu yeyote anaeyajua maduka mazuri yanayouza saa za kiume na za kike kwa bei ya jumla hapa DSM, anisaidie katika hilo, #0713 100 279, natanguliza shukrani zangu za dhati
  2. mrpius

    JamiiForums Tanzania Kuna Majogoo wa Jirani wanawika Saa 6 hii ya usiku je ni Majogoo kweli au ndiyo wale Ndugu zetu?

    Hahaha, we naona tu umeamua kuwachokoza mashabik wa Simba SC usiku huu, umetumwa wewe si bure
  3. mrpius

    JamiiForums Tanzania Wale wenzangu wa IT mpoapi?

    Nina Certificate ya IT na nataka niitumie kujiajiri hivohivo, kazi hakuna, sasa natafuta wenzangu wenye mpango kama wangu, wa kujiajiri. Naomba tutaftane ili tusaidiane mawazo, mi binafsi nataka kuwekeza kwenye Mambo Ya Graphics, hata kama hatuna pesa najua tukiwa karibu tunaweza kufanya kitu...
Back
Top Bottom