Recent content by Mronje

  1. Mronje

    Wataalam kupitia JF tunaomba mjibu hoja za Rais. Ni wapi amepatia au amekosea!

    Umeelezea vizuri sana mzee baba, maelezo yako yanatosha kumuwezesha kila mmoja atoe hitimisho lake. Kama alivyowahi sema mzee Kikwete akili za kuambiwa ongeza na za kwako...
  2. Mronje

    Vijana 10 wa JKT Msata kufariki wakiwa kambini wa kuwajibika wawajibike tu

    Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika na wa kuwajibishwa...
  3. Mronje

    Tanzania ya 12 kwa idadi ya wakristo duniani na ya 5 Afrika

    Unalosema lina mantik, maana ni waislamu waliokuwa wanapinga kila kitu cha wakoloni kwa kuhofia mila, utamaduni na dini yao kufutwa na mfumo uliotawala.
  4. Mronje

    Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

    Ukisikia matumizi mabaya ya ofisi ndio kama haya ... Wajumbe wa Nec wa kile chama chingine nao wakitaka kusafiri bure wataruhusiwa ?
Back
Top Bottom