Recent content by MRnyotta

  1. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania Advanced hacking; Don't be a script kiddie..

    Uzi mzuri mkuu. Sema tatizo la hackers wa tz ni wanajisikia na wanaringa + uchoyoo ndo maana hatuendelei. Wenzetu wanaushirikiano kutufunza hata sisi angalau hata ka programming hata intro tu.. ila sisi ndo roho ya korosho sana Hao uliowatag rootadmin na Thefreedom nawakubali sana hasa huyu...
  2. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI USHAURI WA SIMU NZURI:BAJETI NI 400K

    Njooo nikupe tecno H5 yanguuuu
  3. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania UDOM ni chuo kizuri kwa kusoma Cybersecurity?

    Wadau naomba mnishauri... Nataka kusoma cybersecurity. Nilikuwa nauliza na naomba mnishauri je UDOM ni chuo kizuri kusoma cybersecurity???
  4. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania M-bet Kenya, Tanzania, Uganda Database hacked and breached

    Kaka hapa ni tanzania sio mbele. Wenzetu wanaprogram hizo lakn sisi tunajifanya wajuaji kupeana madili kama hayoo ni roho ya koroshoo. Unaweza kupereka taarifa wakazichukua na wakakugeukiwa wewe au kukushit. Hoja uliongea ina maana sehemu ambapo wanatoa pesa kulipa hackers wagundue madhaifu ya...
  5. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania ​​[emoji887] HOW TO ACTIVATE WINDOWS 10 WITHOUT ANY PROGRAMS

    Uache mambo ya kike ukiona hivooo.... Unamtag ili ablock acc wafunge tu nimeichoka hiii ID ninazo kama 5 humu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  6. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania ​​[emoji887] HOW TO ACTIVATE WINDOWS 10 WITHOUT ANY PROGRAMS

    Wewe utakuwa unakazwa na microsoft nyuma.... Sio bure Microsoft kuna kitu unampa wewe....
  7. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania Jipatie handle za kisasa kwa ajili ya samsung yako

    Niaje wakuuu...... Aseee nauza hizi handle kuwa wale watumiaji wa samsung pale endapo simu ikipata moto sana basi kwakutumia handle hiii utaweza tumia simu yako kama pasi. Interested ni check PM bei 5000/=
  8. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania [PART 3-FINALLY] netcat backdoor bypass all type of antivirus (only blackhats read this)

    Kikubwa hapo sio kuoneshana nani anajua mkuu. Kwa nchi yetu kupata watu wanaotufundisha haya mambo sisi ambao tulikuwa hatujui hata computer hawa ni wakuheshimu sana. Kikubwa kilikuwa ni kila mmoja au anayempinga mwenzie aje na hoja yake alternative ili sisi bigner tufaidike... Wote sisi ni damu...
  9. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania [PART 3-FINALLY] netcat backdoor bypass all type of antivirus (only blackhats read this)

    Watufungulie na sisi darasa letu
  10. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania [PART 3-FINALLY] netcat backdoor bypass all type of antivirus (only blackhats read this)

    Huuu uzi nilikuwa sijausoma wote haya mabishano yanatia raha sanaa ila conclusion ni kwamba wewe unajiiita sijui kali linux hoja zako za kipumbavu na dhati toka mshikaji kapost katika comment zako unaonekana dhati kabisa ulikuwa unampinga ili uonekane wewe ndo unajua kumbe na wewe ni ushuzi wa...
  11. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania [PART 3-FINALLY] netcat backdoor bypass all type of antivirus (only blackhats read this)

    Shukrani sema nini kuna issue nataka unisaidie hata kukulipa nitakulipa ngoja nije private
  12. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania [PART 3-FINALLY] netcat backdoor bypass all type of antivirus (only blackhats read this)

    Dah nashukuru sana imekubali. Samahani ivi hii ukiacha antvirus hiii windows defender inaweza bypass hizi zingine kama avast n.k??
  13. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania [PART 3-FINALLY] netcat backdoor bypass all type of antivirus (only blackhats read this)

    nc na apt inaandika used by another process. Kila nikifungua kama ulivyoandika hapo inaleta error hio
  14. MRnyotta

    JamiiForums Tanzania [PART 3-FINALLY] netcat backdoor bypass all type of antivirus (only blackhats read this)

    Mkuu napata error nikiandika hio command ya kusikiliza kwenye pc yangu Thefreedom
Back
Top Bottom