Jana nilikua naenda kariakoo kutoka Mbagala tulivyo fika kwenye reli kulikua na treni inapita ya kawaida ya Zamani nikataka kupiga picha mtu mmoja akaniambia hiyo simu yako kama hauipendi endelea kuchukua video maana ita chukuliwa sasahivi, lakini kisa hiki si cha kwanza kama mnavyojua ukienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.