Recent content by Mrlee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mnao fahamu hizi mashine za nafaka,Nizitumie vipi niweze kujiingizia kipato?

    Ni mashine nimezikuta kwa ndugu yangu, zinaonekana kama moja mchele na nyingine ya mahindi, niweze kutumia kwa utaratibu upi ili nijiingizie kipato.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa chanjo ya Gumboro

    Nilivyo ambiwa Kwa kawaida hiz chanjo hazina mbadala hiyo kama hawajapata huo ugonjwa nishukuru, wakipata ndy hasara tena.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa chanjo ya Gumboro

    Hizo dawa za mafua ni mbadala wa gumboro au uliwapa tu,Nina vifaranga 400 ila nimekosa hiyo chanjo, soko lipo kaka muhimu wewe kulitafuta kwa bidii.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa chanjo ya Gumboro

    Mimi ni mfugaji wa kuku na kuna tatizo la kukosekana kwa chanjo ya Gumboro sokoni, wafugaji wenzangu nyie mnalimudu vipi swala hili?
Back
Top Bottom