Recent content by mrishoabdul

  1. M

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    sote ni wa Mungu na kwake ndiyo marejeo yetu sote. Mungu akupunguzie adhabu za kaburi na awajaalie subira wafiwa wote na atuepushe mbali na fitna zozote zitakazozuka kutokana na msiba huu.
  2. M

    Kinana amburuza Msigwa kortini

    Haya yaliyoelezwa hapa ni ya Upande mmoja wa mlalamikaji, tusubiri na mtuhumiwa naye atajibu nini, lakini lazima tutambue kuwa kama Kinana amekuwa affected na skendo hizo na kama zitzkuwa ni za uongo, lazima Msigwa awajibike kadili mahakama itakavyoona yafaa. Kuhusu kinana kutaka kuingia kwenye...
  3. M

    sheria ya mirathi msaada please

    katika sheria ya mirathi kuna vitu viwili vya muhimu kama marehemu hakuacha maandishi/wosia navyo ni intention of deceased person. mode of life of deceased person. vitu hivi vitatoa majibu ya kutambua ni sheria gani itumike, kama ni muislamu itatumika sheria ya kiislamu na kama ni mtu wa mila...
  4. M

    Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma katika Utendaji

    our court is a court of laws and equity......hukumu ya mpendazoe ilikua imejaa hearsay evidence na jaji Ibrahimu amelielezea hilo katika hukumu ile, mimi nakushauri uwe na tabia ya kuzisoma judgment vizuri na ikitokea hujaelewa mahali si vibaya kuuliza na siyo kulalamika, court of Appeal ina...
Back
Top Bottom