Recent content by Mrisho

  1. M

    Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!

    (Kesi ya Juliana Shonza haiwezi kamwe kuendeshwa na Heche ukatarajia haki ionekane kutendeka. Hilo moja) Ndugu Ganji Aliyemuhukumu Juliana Shonza, Mchange na Mtela siyo Heche, waliohukumu ni wajumbe kamati tendaji ya BAVICHA.. Na kamati Tendaji ni lazima ipitie kwanza mapenmdekezo ya ripoti...
  2. M

    Hotuba ya Rais Karume kwenye Sherehe za Mapinduzi Zanzibar:The Best Ever!

    CCM watamsaidia Kibaraka wao Mrema kupata jimbo analolitaka ili waoneshe sura mpya ya UPINZANI. Kwania akili za wana CCM tunazifahamu kwa muda mrefu sasa. Hayo yote Mrema anayoyasema yanatokana na mafunzo anayopewa na CCM.
  3. M

    Hotuba ya Rais Karume kwenye Sherehe za Mapinduzi Zanzibar:The Best Ever!

    Mrema huyo ni Kibaraka wa CCM sisi tunamfahamu, tumechoshwa na kauli zake kama za mlevi.
Back
Top Bottom