Recent content by Mringi..

  1. M

    Kuna ajenda ya siri kati ya CCM na Lipumba?

    Najaribu fikiri Prof Lipumba akirudi nafasi ya Maalim Seif katika chama itakuwaje. Ha2a watu walipingana kimsimamo. Kama Lipumba atarudi basi simuoni Maalim Seif kwenye siasa za Cuf na pengine ndo msumari wake wa mwisho katika siasa za Zanzibar.
  2. M

    Mshindi Oktoba 25 (mathematical analysis)

    Gud analysis but try to characterize it against gender. I have noticed that the assumption u have taken on the age of voters reflects only the male population. For all things women enjoy greater numbers than men as demostrated in the recent NEC statistics. I also see the turnout of women...
  3. M

    Kwanini si muumini wa Serikali Tatu...

    Tata mchango mzuri lakini.. Kwanza mimi ni mwamini wa Serikali moja ua mbili kamailivyo sasa au kuvunjika kwa muungano. Kwa nini sitaki kusikia kitu kinaitwa serikali tatu?? Sababu kubwa siwezi shabikia kitu ambacho is bond to collapse in NO TIME. Kuwa na serikari tatu sio suluhu ya matatzo ya...
Back
Top Bottom