Recent content by Mringa Dii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kakobe amshukia Lowassa, azungumza kuhusu Kura ya Maoni

    Big up kakobe 100%
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chondechonde viongozi wa Dini!

    Takwimu: Waislam 32%, Wakristo 54, Wengine 14%.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta bado anao ubavu wa kukemea ufisadi kama alivyokuwa zamani?

    ubavu na ujasiri ulikuwa wa kulipa kisasi ya kukosa waziri mkuu kwa lowasa..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    Muhongo anaondoka, hakujua cheo ni dhamana, liwe fundisho kwa wengine. Aache dharau. Usambazaji umeme aliukuta na utaendelea bila yeye. Alijgamba ataondoa katakata ya umeme,...wapi?. Nitamtetea atakaeondoa uozo Tanesco na sio Muhongo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini Mwakyembe alikaa kimya?

    Umezoea ubishi bila point! Lowasa alikuwa anatibiwa, hakuwa bungeni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

    Mvomero moro hakuna umeme kuanzia asbh.hadi sasa 1.45!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

    siyo ubungo tu, huku mvomero umeme umekatwa kuanzia asbh. Hadi sasa saa 1.45 uck ni giza.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Tumewakosea nini tanesco watukatie umeme tangu asbh. Hadi uck huu? Itv tunawaomba mtupatie marudio k.m kawaida yenu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Cheyo anatoa taarifa ya mazungumzo na Kikwete ndani ya BMK

    spining ndio lugha gani? Unataka kuongea na watu gani? Kwa taarifa yako ujumbe haujafika. Kama ulisoma kdgo omba kurudia somo la 'mawasiliano'.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 75 ya kanisa la TAG

    Ni janga, TAG wamekuwa sasa dini kamili, si kanisa la kiroho tena!
Back
Top Bottom