Recent content by mrekebishatabia

  1. mrekebishatabia

    DMV USA: Kumuona Kikwete ni $100 kumpongeza kwa kuzalisha 3000mega watts za umeme

    nasikitika sana kumuona Raisi wangu nachangia pesa? tena dola $100? hamwezi kuwa serious so hiyo $100 ikitolewa kuna chakuna na vinywaji? au mnampa Rais Kikwete au waandaaji? ACHENI WIZI DMV
  2. mrekebishatabia

    Wema Sepetu aahidi kufanyia kazi ushauri mbalimbali

    Hayakuhusu kwani nawe ulitoa ushauri?
  3. mrekebishatabia

    Je unaamini Bila Wema Sepetu Diamond asingefika hapa kimuziki?

    Pamoja na sifa nyingi ambazo amejizolea mwanamuziki Naseeb Abdul "Diamond" ni kweli ana kipaji na pia anajituma katika kazi zake. Ila asisahau kwamba hatua aliyofika leo pamoja na kujitahidi kwake kuna mkono wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu Kwanini nasema hivi? kuna waimbaji wengi wanaimba...
  4. mrekebishatabia

    Vijana wengi wana hasira na Zitto Kabwe

    Hii topic kuhusu Zitto Kabwe niliweka katika ukurasa wangu wa Instagram nikisema ni mmoja ya vijana wenye ushawishi mkubwa kisiasa nchini na alipelekea vijana wengi kujiunga na Siasa tofauti na hapo mwanzo vijana wengi walikuwa woga. Nimejifunza mengi kutokana na maoni mbali mbali asilimia...
  5. mrekebishatabia

    Sporah Njau acha uchonganishi kwa wasanii

    Hahahaha enhee niko hadi huku!
  6. mrekebishatabia

    Yupi ni director mkali kati ya Nick Dizzo na Nisher ?

    Tatizo jingine la NISHER anapenda sana sifa..yaani yule jamaa kujisifu kwingi mpaka anapitiliza
  7. mrekebishatabia

    Wema Sepetu aahidi kufanyia kazi ushauri mbalimbali

    Katika ukurasa wa Instagram mrekebishatabia aliandika hivi:- Yes. Kuna watu hawaelewi kwanini au why now.. tunampenda sana Wema Sepetu binafsi mimi kama mrekebishaji sifurahii kuona mtu ambaye wengi wanamuona role model wao anapotea, mtu mwenye talents anazichezea! Hata kama ni zake lakini kuna...
  8. mrekebishatabia

    Nampongeza Millard Ayo ni mtangazaji anayejituma

    Nampenda sana Millard Ayo nilijua ana kitu cha tofauti tangu anaanza kazi ya utangazaji. Sio kwamba nilivutiwa na story yake aliyopitia. Jamani anastahili credit nyingi sana. Habahatish anaanda habari za uhakika, ataenda eneo husika, atatafuta wahusika hata kama ni mazingira hatarishi...
  9. mrekebishatabia

    Sporah Njau acha uchonganishi kwa wasanii

    Hi Sporah! hongera kwa kuwa na kipindi chako kwa TV, ni hatua kubwa sana. Umeweza!! Japokuwa tunafurahia baadhi ya shows lakini nyingi zinaboa! Yeah unatafuta viewers lakini kwa njia ya uchonganishi haipendezi. Mfano: why don't you stick kwa theme ya mahojiano? Unamhoji fulani then unamuingiza...
Back
Top Bottom