Recent content by MReeves

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bila kadi sasa hupandi Mwendokasi. Waziri Mchengerwa awataka DART kutoa fursa Kwa Watanzania kuwekeza kwenye Mwendokasi

    Wanazindua kadi badala ya kuongeza magari..yaan sahivi mwendokasi ndo umekuwa usafiri mbaya sijawahi ona
  2. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Meneja wa MORUWASA asimamishwa kazi

    Morogoro ina mito kibao ila maji hamna mfano mzuri tyu ni njia ya kwenda ifakara pale madaraja 12
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

    Kumekucha amebakia mmoja
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Magoma akana kushinda kesi dhidi ya uongozi wa Yanga

    Ngoja tukupe ww labda utaweza
  5. M

    JamiiForums Tanzania LATRA kujadili maoni ya kupandisha nauli za mabasi ya mwendokasi

    Wameona 750 haitoshi ila hii nchi tutafika tumechoka
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Sisi tupo tayar hata saiv ila wajue wao ndo wataumia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Aliyeshiba hamjui mwenye njaa.mnataka kuturudisha kwenye tozo tena jaman
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Si angesubiria tumalize pasaka kwanza mbona kawahi sana 😂
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam

    Na wale wa umeme mfanye kweli basi maana 😂sio poa
  10. M

    JamiiForums Tanzania DART yawasimamisha kazi Maafisa wa Mwendokasi walioshindwa kudhibiti vurugu zilizotokea Kituo cha Kivukoni

    Msisahau na gerezani pale maana wanasubiria mpaka tujae ndo waje watubebe ilihali madereva wapo wanapiga stori
Back
Top Bottom