Recent content by Mrdavie

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais, hii ndiyo Julius Nyerere International Airport inavyowatesa wageni na kuwakimbiza

    tatizo ni kutokuwa na exposure, na pia upeo mdogo wa kufikiri, sidhani kama unahitaji digrii kujua kua unapfanya malipo ni lazima upewe risiti halali, huenda nae anahusika na hilo ndio maana anatetea
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais, hii ndiyo Julius Nyerere International Airport inavyowatesa wageni na kuwakimbiza

    wanaiba rasilimali au viongozi wenu mliowachagua ndio wanawapa rasilimali zetu? think hard
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tutakuwa tunatumia Kiswahili kwenye mikutano ya kimataifa, tutaajiri wa kututafsiria

    pamoja na kuwatoa watoto wao katika international schools zinazofundisha kwa lugha ya kiingereza (english medium)
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa utumishi wa umma

    na inakuwaje pale mtumishi anaposomea kada yake,haki zake ni zipi baada ya kuhitimu masomo? mfano mtumishi mwenye stashahada ya mifugo anapoenda kusomea shahada ya mifugo?
Back
Top Bottom