Recent content by MrCardo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira ilitoa mwongozo wa kujitolea Kwa nafasi za ualimu. Je, imefikia wapi mbona kimya?

    Kuna siku Serikali kupitia sekretarieti ya ajira katika utumishi wa Umma ilitoa mwongozo wa kujitolea Kwa nafasi za ualimu - ajira za kujitolea serikalini kuanza kutumika julai 2025. Je, imefikia wapi mbona kimya na hakuna kinachoendelea?
  2. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii ya mwanaume aliyepanda farasi imetengenezwa

    Picha hii ina uwezekano mkubwa kuwa imetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya akili bandia (AI) au imehaririwa kwa kiwango kikubwa. Vigezo muhimu vilivyotumika kubaini hilo: 1. Ubora wa Maelezo (Details): Mavazi ya mzee yana maelezo ya kina sana (textures) ambayo ni ya kipekee kwa picha...
Back
Top Bottom