(Dead in shell cases)😔⁉️
▪️Hii ni changamoto kubwa ambayo, wafugaji wanaotumia viangulizi (Incubators) hukumbana nayo siku 21 baada ya kuweka mayai kwenye Incubators.
▪️Wafugaji na watumiaji wengi wa incubators hudhani kwamba, vifo vya vifaranga ndani ya mayai hutokana na maambukizi ya...
PORTABLE GRASS CUTTER MACHINE/BRUSH CUTTER MACHINE.
■Hii ni mashine ya kisasa ya kukatia ama kufyekea majani au nyasi.
■ Inauwezo wa kukata nyasi fupi na ndefu pia hata matawi ya miti
■Mashine hiii hutumia petrol kidogo mno na hukata eneo kubwa sana.
■Wakati wa Kukata nyasi unaivaa begani...
TUNAUZA MASHINE NDOGO ZA KULIMIA
=AZWPYjHWWy-JF0dR8lwvMn1FGYNV-v2JlqCEjvPkQD8yDdDQ09V9-DMA8okDqeZ9XMSoAOweaN8fEWEK-MTDJF-7g1T4x7mlV-0T8XsjhAAZguqj9WI_rbSw3eFN6nTsMV-1oie29TdCOTuAeZ-DOMfJoa7xmB-KENL7vUiQgdmbjxDejYPI3Iex8PRdMdkZr1s&tn=*NK-R']#MINPOWERTILLER
Okoa muda/nguvu kazi pamoja na gharama...
TUNAUZA TAA ZA JOTO ZA KULELEA VIFARANGA.
(HEAT INFRARED LIGHT BULB)
●Hutoa mwanga mwekundu ambao husaidia kupunguza stress kwa vifaranga na kufanya ale vizuri.
●Taa moja hulea vifaranga 100 hadi 150.
●Huzalisha joto la kutosha hivyo humfanya kifaranga wako kufurahia maisha.
●Hudumu muda mrefu...
Tunauza mashine za kuchakata malisho ya mifugo kama vile kuku.
Mashine hii inauwezo wa kuchakata mabua na majani hadi kuwa vipande vidogo dogo sana.
Inauwezo pia wa kusaga magunzi,mahindi,mashudu na material mengineyo yanayotumika katika kutengenezea chakula cha kuku hadi kuwa unga kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.