Recent content by mrbambi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Catylin Jenner atajutia kumkufuru Mungu

    Haukalii ata amekua lesbian an a date na mwanamke mwenzie asa sijui y ajibadilishe afu awe na mwanamke
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bakhresa anakwepa kodi?

    Tusiongee vitu visivyo na uhakika na ukweli ndani yake. Bakhresa ni mlipaji kodi mzuri na anajipatia Mali zake kwa uhalali kabisa ni muislam swafi huyu Mzee. Mimi ninafanya kazi kwenye moja ya biashara zake kitengo cha mapato hivyo basi naelewa nini ninasema. Lini wafanyakazi wa Bakhresa group...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Anaogopa kuvunja kuhofia mawaziri watakimbila kwenye mabadiliko
  4. M

    JamiiForums Tanzania Matibabu nchini India

    Habari zenu wakuu, naomba kujua kuhusu chanjo ya homa ya manjano kwa wanaosafiri ni wapi inatolewa na kwa siku gani na gani. Pia kwa mwenye kujua hospitali ya Apollo iliyoko Chennai nchini INDIA gharama zake na huduma kwa pamoja. Na jinsi ya kupata VISA pia kwa ajili ya kwenda kutibiwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ofa! Simu za Huawei, Samsung na LG mpya kwa bei nafuu kabisa

    Ndogo Sana iyo mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ofa! Simu za Huawei, Samsung na LG mpya kwa bei nafuu kabisa

    Poa poa mkubwa na mzigo mpya umeshaingia tayari
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ofa! Simu za Huawei, Samsung na LG mpya kwa bei nafuu kabisa

    Simu bado zipo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ofa! Simu za Huawei, Samsung na LG mpya kwa bei nafuu kabisa

    Check me 0716651695
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ofa! Simu za Huawei, Samsung na LG mpya kwa bei nafuu kabisa

    Note 1 330k
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ofa! Simu za Huawei, Samsung na LG mpya kwa bei nafuu kabisa

    Note one ni 330,000/=
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ofa! Simu za Huawei, Samsung na LG mpya kwa bei nafuu kabisa

    Simu ni original kabisa ilo usitie Shaka nakuletea simu unaichek ukiridhika unachukua
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ofa! Simu za Huawei, Samsung na LG mpya kwa bei nafuu kabisa

    S4 mini sina ninayo kubwa Bei ni 430,000/= mwisho
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ofa! Simu za Huawei, Samsung na LG mpya kwa bei nafuu kabisa

    Nokia sina mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji iPhone 6

    Nicheki 0716651695
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ofa! Simu za Huawei, Samsung na LG mpya kwa bei nafuu kabisa

    Bei inapungua lakini sio 500,00/= mkuu
Back
Top Bottom