Kama unam-feel then mkalishe chini mwambie kama vipi tuwe tunamegana ila tufanye kwa siri! Kuleni maisha, siju mkishindwana kila mtu ale 50 zake na hakuna kutangazana.
Maana nlivyikusoma na kukuelewa, huo uhusiano na jamaa unautaka lakini hutaki jamii inayokuzunguka ijue! So mkalishe chini...
Nakumbuka mi nliachwa July 2019 kwa Phone call. Kwa kweli nilimpenda sana yule binti na kwa muda mfupi nlokua naye alinichuna lakini mi nlichukulia poa kwa sababu nlimpenda saaaaaana
Baada ya kumpiga sound, Nilimsafirisha toka Dar kuja Arusha, bata mbili tatu na baadae nkamrudisha Dar huko huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.