Recent content by Mrabu2025

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Nyieb ndio wazembe kazini.acha mshughulikiwe.saa tatu kazini!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    sasa kama katibu mkuu hafanyi nani afanye ili kuokoa jahazi.?ndio maana ya hapa kazi tu.Naibu waziri anaonesha njia ili wote wafuate.Balozi Sefue sasa hivi anaendana na kasi vizuri sana lkn ni baada ya kuona Rais anataka nini.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    foleni sio excuse mzee.huku private coys mbona watu wanawahi kazini tu tena mapema sana na jiji ni hili hili.jiadjust mwenyewe kukwepa foleni.ukweli ni kwamba serekalini huo uzembe upo na ni bora udhibitiwe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    Hivi watanzania mmelogwa wapi.?Alichokifanya Kigwangala ni sawa kabisa tena tumpongeze.Hawa matapeli ni wengi sana hapa mjini.Kama sasa hivi mnawatetea matapeli basi mda si mrefu mtawatetea mafisadi.Kama ni Dr kweli mwenye vigezo na lisence zote kwa nini Anakimbia??
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    kwa nini anakimbia sasa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa Wanajeshi kwa Dereva - Hili tukio limenishangaza sana leo

    Mwanajeshi amefanya jambo la maana sana.Hao madereva wa daladala ni wa pumbavu sana.Acha akalitumikie taifa kwa njia nyingine.Hongera wanajeshi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa asipewe nafasi tena ndani ya CHADEMA, aachwe aende zake

    Dhambi ya kumfukuza Zitto itawaandama daima.Leo hii Slaa naye mnamuita Msaliti hahahaha
  8. M

    JamiiForums Tanzania James Mbatia unajua leo ni siku ya 8 au umepoteza kumbukumbu?

    Hahahahaha
  9. M

    JamiiForums Tanzania James Mbatia unajua leo ni siku ya 8 au umepoteza kumbukumbu?

    Mimi kila siku nasema hawa jamaa ni kakikundi fulani kawahuni wa barabarani tu.yani Magufuli kawachanganya kabisa,kama kujiorganize wenyewe mnashindwa sembuse kuongoza nchi.??hahahaha
  10. M

    JamiiForums Tanzania Toyota corsa inauzwa 2.5m

    Peleka vyuma chakavu.Hilo sio gari ni mabati
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mapadre waanza rasmi kumpigia Magufuli kampeni

    Bavicha mapovu yanawatoka,Magufuli chaguo la Mungu.Padri hongera sanaaaaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwaka laini kwa UKAWA kuchukua nchi kama huu 2015

    Wahuni wa barabarani kamwe hawatapewa ridhaa ya kuongoza hii nchi,kama tu kuongoza familia zenu mmeshindwa sembuse kuongoza nchi!! R.I.P ukawa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Azam 2 asante kwa kuonesha ukweli wa Chato ya Magufuli

    Bora uwaeleze kamanda,watu wanatafuta sababu ambazo hazina kichwa wala miguu.Magufuli amewachapa kisawa sawa hawa ukawa.JPM ndiye rais wa nchi hii kwa miaka kumi ijayo kama hamtaki hameni nchi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Azam 2 asante kwa kuonesha ukweli wa Chato ya Magufuli

    Mtahangaika sana ila Magifuli ndio Rais wa Nchi hii kwa miaka kumi ijayo
Back
Top Bottom