Recent content by Mr002

  1. Mr002

    Watanganyika tunahitaji kujitathmini kuhusu matumizi yetu ya muda na fedha, ili kujenga kizazi cha kujitegemea na kujiamini kufanya kazi bila misaada

    Umesema vyema mkuu, lazima kwanza tujitume sisi wenyewe lazima tufanye kazi kwa moyo wote, tupo duniani kufanya KAZI na ndo maana ata mungu alipomuumba Adam alimuweka kwenye bustani ya edeni aitunze .inasikitisha xana unakuta watu asubuhi MPAKA jioni wanabishana kuhusu Simba na yanga. Watanzania...
  2. Mr002

    Unapiga side hustle gani kukuingizia kipato?

    Vizuri sana mkuu, katika vita vya kupambana na umasikini inahitaji kutumia nguvu kubwa sana ili kuweza kushinda vita. Lazima tufanye kazi. Na sio kazi tu but smart..
  3. Mr002

    Sasa ni wakati wa kupata katiba mpya

    Ni kweli kabisa kwa sasa tunahitaji KATIBA MPYA mambo mengi sana ndani ya KATIBA ya MWAKA 1977, yameshapitwa na wakati na yanahitaji kufanyiwa marekebishi.hasa kuhusu huu mgawanyo wa serikali na madaraka kwenye muungano , kwann Zanzibar Ina serikali yake lakini tanganyika Haina? Tuna serikali ya...
Back
Top Bottom