Recent content by Mr Zed

  1. Mr Zed

    Ninapata maumivu makali ya tumbo eneo la kitovu, Hospitalini tatizo halionekani kabisa

    Habarini wakuu! kabla sijaenda kwenye hoja yangu kama kichwa kinavyojieleza nitoe shukrani zangu za pekee kwa Mwenyezi Mungu anipae uhai, Wakuu ni wiki ya pili sasa tangu nilipoanza kupata tatizo la maumivu ya tumbo eneo lote la kitovu pamoja na pembeni kidogo upande wa kulia wa tumbo usawa na...
  2. Mr Zed

    Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Pole sana mkuu,,,,,ila usiendelee kuumia maana uharibifu na majuto yake huwenda yakawa mara 3 kuliko yako
  3. Mr Zed

    Utambulisho

    Utambulisho Habarini wakuu, kama title inavyojieleza hapo juu Mimi naitwa Mr Zed ni Member mpya hapa JF, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa kutupa uhai hadi sasa tunapoelekea kumaliza Mwaka huu 2020, lakini pia nipende kuwashukuru sana wanamember wote wa JF kwa mada mbalimbali...
Back
Top Bottom