Recent content by Mr. Wrong

  1. M

    Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Sorry jamani, mimi naitwa Consolata nimetumia ID ya mtu tu naomba mnisaidie kuangalia "Mount Carmel girs kigoma ujiji". Asanteni
  2. M

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    daah...!! hebu nambie pakoje kwani maana nshaanza kuogopa
  3. M

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    jamani hii ni mara ya pili naandika kutafuta wenzangu tuliopangiwa ILEJE HIGH SCHOOL au hata yeyote anayeifahamu vizuri, maana jana nimesoma kuanzia page ya kwanza mpaka ya 12 sijamuona hata mmoja.
  4. M

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    mkuu nimepangiwa hapo, naomba kujua kama kuna umeme na maji na pia naomba kujua kama kuna mchepuo wa CBG pia ni single au mixer? Ahsante. Namba ya simu ni 0718532828 kwa maelezo zaidi.
  5. M

    Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    hapana mkuu sio "Lambi" ni " I A M B I" naomb unsaidie mkuu
  6. M

    Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Samahani mkuu niangalizie Ibrahim A. Kilimba S0414/0022 Iambi secondary
  7. M

    Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    soryy mkuu naomba niangalizie Ibrahim Alphayo S0414 Iambi secondary
  8. M

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    leo wanaweza toa..!! ngoja tusubir......!!!!
  9. M

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    ni kweli wametufanya mapoyoyo asee
Back
Top Bottom