Recent content by Mr. Wise

  1. Mr. Wise

    Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

    Pamoja na kua na arguments nzuri sana naona bado hapa kuna mahali umekosea, yani pasipo hata kujua mimi ni wa mtazamo upi, umesha conclude kua mimi ni mtu wa imani(iwe budha, Hindu, Christian, Muslim etc) na kwamba ukinijibu kama haupo katika imani yangu yani (iwe budha, Hindu, Christian, Muslim...
  2. Mr. Wise

    Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

    Why is it tricky, baada ya hoja yako ya msingi nataka kufahamu unaamini kwenye imani ipi?
  3. Mr. Wise

    Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

    Nataka kujua je unaziamini Biblia na Quran?kama auziamini Je ni kwann hauziamini, na Je imani yako iko katika upande upi wa quran ama iyo Biblia?
  4. Mr. Wise

    Hukumu ya waliotumwa na afande ni kiinimacho; ishu nzima iko hivi

    Yea taratibu za kiutambuzi kwa waliofanya kosa hazikua sahihi. Nahisi may be walifanya makusudi ama kuna uzembe. Hapo lazima wakikata rufaa watachomokea hapo
  5. Mr. Wise

    Hukumu ya waliotumwa na afande ni kiinimacho; ishu nzima iko hivi

    Andhaa Kaanoon : Iko hivi jamaa watakata rufaa kisha watatoka huru. Kuna taratibu za case hazikufatwa ambazo ziliachwa hizi ndio zitakazowafanya washinde kesi
  6. Mr. Wise

    Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

    Uko sawa, ila tunakukimbusha kua habari za kua na hatia ama kutokua na hatia uthibitika mahakamani. Ivyo basi kwasasa akamatwe na kufikishwa mahakamani mpaka itakavyokua proved kua hana hatia, ila sio polisi kumaliza juu kwa juu bila utaratibu wa kisheria kufuatwa. Asante.
  7. Mr. Wise

    Kwa CCM, January Makamba ni Asset

    Shida unalolizungumzia halina faida ama positive impact kwa wananchi, utulivu hauna impact kwa maendeleo yao, sisemi kua ni mpigaji ila nakupa mfano tu,: Hivi kiongozi ukiwa mtulivu na mpiga, wewe uo utulivu wako utakua na benefit gani kwetu?uongozi ni kwa ajili ya jamii, utulivu ni kwa gfnd...
  8. Mr. Wise

    Kwa CCM, January Makamba ni Asset

    Ogopa sana watu wa ivyo...kama wewe ni mkristo, kaangalie tofauti ya Yuda na Petro, Yuda alikua mkimya mnoo kuzidi harakati za Petro. Ila tazama mipango yake.......alikuja kumuuza "Bwana wake" pamoja na wema wake na ukuu wake kwao na wanadamu
  9. Mr. Wise

    PreGE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Chalamila ana Mungu na mkuu wa wilaya wa Ubungo, baada ya sekeseke za juzi na ukali ule nilijua zikija teuzi hawatoboi
  10. Mr. Wise

    Rais Ruto: Kwa sababu Finance Bill imekwama tunaenda Kubana Matumizi kuanza ofisi ya Rais hadi Kwa Wafagizi, Mafisadi watakiona Chamoto!

    Ila Africa dah, kumbe kubana bajeti ingewezekana. Sasa why wao viongozi walitaka kula bata wakati wananchi wangesota na kodi??
  11. Mr. Wise

    Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

    Siasa bhana!imagine mwanasiasa anataka eneo lenye watu wasiozidi mil1 lipate mgao sawa na eneo lenye watu mi59. Yani inshort baba mwenye familia mbili moja ina mke na mtoto mmoja nyingine ina mke na watoto 10. Kisha tunawaza baba afanye mgao sawa. TZ ina vihoja sana
  12. Mr. Wise

    PreGE2025 Lissu: Sijui ilikuwaje CHADEMA tukamualika Rais Samia, ila mbeleni tutaelezana

    Yani ni ukongwe wake wote katika siasa bado hajui mwenyekiti wake ni nani? Politics is a good game hahahahaha
Back
Top Bottom