Pole ila nakushauri mke ni mpenzi wa moyo wako hivy tafuta mahali tulivu mtoe out mpe nafasi aseme namna anavyojifill
Unajua mapenzi yanahitaji kuzungumza kila wakat na kukumbushana mambo ya msingi
Acha hasira naamin mkiongea mtayamamliza maana naamini yey kama yy atakuwa na ushauri na kusema...
Hawawezi kumpa kwasababu anachoma mioyo yao na kugundisha kwel,angekuwa yupo kimaslai binafsi wangeshampa
But acha apige kazi heshima anayoipata mbele za Mungu ni zaidi ya heshima za wanadamu
Ni kwel kabisa hali ni mbaya sana na licha ya maji barabara ni fupi sana lkn muda uliotumika had sasa ilitosha kabisa kumaliza lkn had leo wanamwaga vumbi wasilolihudumia
Jaman ni hatat hiz gharama sasa hiv ukinunua mwanzo wa mwezi bila elfu kumi hupati umeme tena unapata unit 8 baada ya hapo ukinunua wa elfu kumi unapat unit 26 wakat zaman hata kama mwanzo wa mwezi elfu 5000 unapata unit 1 sasa hiv kama unanunua mwanzo wa mwezi elfu tano hupati kitu unaambia...
Hii ni hatari sana na ni aibu lkn hata hao wanaopiga wenzao picha na kuongoza kwenda kuwaweka magazetini je ni wakamilifu mbele za Mungu Yesu aliwaambia jamaa kwenye biblia kama kuna mtua anajihisi hana dhambi na awe wa kwanza kumpiga mawe mwanamke huyu. unajua hata kama kafanya kosa je kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.